Wanaume tujitahidi kulinda brand!

Wanaume tujitahidi kulinda brand!

Ni hivi ili uwe mwanaume kamili ni kwamba hata ukipewa sekunde 5 zinatosha kabisa mnara wako kusimama na kusoma kasi ya 5G,hakuna kitu kinacholeta stress duniani kwa mwanaume Kama upo na mtoto mzuri on the bed kisha mnara unasoma E Mara unapotea kabisa! Ni jambo LA fedhea kubwa sana!tuepuke soda kwa wingi na kila aina za chakula kinachopelekea kupunguza mzunguko mzuri wa damu!
Nadhani sauti inatosha

Sent by Diaspora
kijana mwenzetu ushazalilika huko
 
Unadhani ikiwa usiku kwa mtogole unapoishi unadhani ni usiku dunia nzima?
Watanzania watu wa ajabu sana usiku kucha hujalala unasubiri ahsubuhi ifike ili upost ujinga uliokuwa unauwaza usiku kucha

Sent by Diaspora
 
Ni hivi ili uwe mwanaume kamili ni kwamba hata ukipewa sekunde 5 zinatosha kabisa mnara wako kusimama na kusoma kasi ya 5G,hakuna kitu kinacholeta stress duniani kwa mwanaume Kama upo na mtoto mzuri on the bed kisha mnara unasoma E Mara unapotea kabisa! Ni jambo LA fedhea kubwa sana!tuepuke soda kwa wingi na kila aina za chakula kinachopelekea kupunguza mzunguko mzuri wa damu!
Nadhani sauti inatosha

Sent by Diaspora
Kila kitu kina faida na hasara zake 5G sijui 8G mara u ajikuta segerea umebaka mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi ili uwe mwanaume kamili ni kwamba hata ukipewa sekunde 5 zinatosha kabisa mnara wako kusimama na kusoma kasi ya 5G,hakuna kitu kinacholeta stress duniani kwa mwanaume Kama upo na mtoto mzuri on the bed kisha mnara unasoma E Mara unapotea kabisa! Ni jambo LA fedhea kubwa sana!tuepuke soda kwa wingi na kila aina za chakula kinachopelekea kupunguza mzunguko mzuri wa damu!
Nadhani sauti inatosha

Sent by Diaspora
Kazi na ujumbe mzuri mwana diaspora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom