Wanaume tujisahihishe. Ukipanda magimbi, usitarajie kuvuna Tanzanite!

Miaka ya nyuma kidogo wakati naanza kukua, niliwahi sikia msemo uswahilini kwetu. Msemo ambao hadi leo hii huwa bado unakita ngoma za masikio yangu... ''Ndugu yako wa kweli ni mama mzazi''. Kila nilipotaka ufafanuzi wa kauli hiyo nilijibiwa kwamba kati ya baba na mama, mama ndiye ndugu yako wa kweli na rafiki wa kweli forefront.

Kimsingi kauli hiyo ni debatable, na yaweza kuwa rebuttable kutegemeana na hoja ama mazingira ya mtu binafsi. The 'reality' of such statement may vary from person to person. But as far as 'family/child desertion' is concerned, there is some elements of truth in the said statement. Ukiangalia 'child desertion rate' kati ya wanaume na wanawake, wanaume wanaongoza kutelekeza watoto !

Tanzania tuna sheria ya mtoto iitwayo 'The Law of the Child Act' ya mwaka 2009. Sababu za kutungwa kwa Sheria hii, pamoja na mambo mengine, ni baada ya kuwepo kwa ongezeko kubwa la 'street children', waliosababishwa na irresponsible fathers a.k.a 'deadbeat dads'. Sheria hii imejikita zaidi kulinda maslahi mapana ya mtoto (best interest of the child). Ni sheria inayoweka strict legal ground for Child care, protection, and welfare. Kwa mujibu wa Sheria hii, biological father ndiye duty-bearer wa kwanza katika ku-provide matunzo ya mtoto. Mbali na Sheria hii, pia kuna several international instruments ambazo zinaweka jukumu zima la matunzo & malezi ya mtoto kwa biological parents. 'The Convention on the Rights of the Child' ni miongoni mwa instruments hizo.

View attachment 704916

Lakini ukija kwenye 'field'... hali ni tofauti kabisa. Maisha ya mtaa yanatuonesha hali halisi jinsi single mothers wanavyopambana on their own to raise their little angels. Wanaume wanakataa mimba, wanatelekeza watoto, wanakimbia familia, etc. Baadhi ya wanaume (kama sio wengi) wanadhania kwamba kuwa baba (fatherhood) is just to kick the cervix and seed the womb, then no more. Wanadhania kuwa baba ni 'kutupiamo' tu kisha umemaliza, unasubiria mtoto akue aje akutunze ukizeeka. Hell no! Fatherhood is beyond that... I believe.

Mama anahangaika na ujauzito all alone kwa msoto, mtoto anazaliwa then mtaa unamlea na anaanza hustling from the scratch ili kusurvive! Mungu si Mwanalizombe, kijana 'anatusua' life kimtindo, kisha hapa sasa ndipo 'dingi' anatoka mafichoni na kuibuka kutambua thamani ya mtoto. Oooh ''mimi ndiye baba yako mzazi'', mara ooh ''kijana kanikataa na kunitelekeza hanipi matunzo nashindia magimbi'' and blah blah mob. WTF!! Ofkoz this ain't 'news' but a baseline.

Mary J. Blige, Maria Carey, Tome Cruise, Jamie Foxx, Jay Z, Alicia Keys, 2pac, Shania Twain, Kanye West,... ni miongoni wa celebs waliokuwa abandoned by their biological fathers tangu wakiwa watoto kabisa. Credit: WithoutaFather.com - Celebrities

Kati ya Celebs wote waliolelewa na kukua without a father, 2pac Shakur ndiye aliyeelezea sana hisia zake kwenye mic kuhusu kutelekezwa na baba. Alilisema sana hili kwenye tracks zake kadhaa. Pac amelelewa na step father named Mutulu Shakur kwa upendo wote. Katika moja ya interviews za Pac, aliwahi kuulizwa je anamchukuliaje Mutulu Shakur? Pac alijibu hivi ''Mutulu is my real friend, comrade, and father''. Baba mzazi wa Pac anaitwa William Garland, dereva wa transit trucks jijini L.A.

Mwaka 1995, album ya tatu 'Me Against The World' by 2PAC ilikuwa released. Miongoni mwa nyimbo zilizokuwa kwenye package hiyo ni 'Dear Mama'. Pini hii 'Dear Mama' ilikuwa ni shukrani kwa mama mzazi (Afeni Shakur R.I.P), shukrani ya kutambua mchango na upendo wa mama kuwalea watoto (2pac na dada yake aitwaye Sekyiwa) katika mazingira magumu mno baada ya baba yao mzazi 'kusepa' na 'kula kona'. Ni wimbo uliouza sana worldwide, na hadi leo hii ngoma hiyo haikinai masikioni mwa watu. Ni wimbo ulioonesha strength ya mwanamke ktk uangalizi wa familia. Pia, uduwanzi wa mwanaume ulitajwa. Nanukuu baadhi ya misitari katika wimbo 'Dear Mama' :

''... No love from my daddy, 'cause the coward wasn't there.
He passed away and I didn't cry, 'cause my anger

wouldn't let me feel for a stranger.
They say I'm wrong and I'm heartless, but all along
I was looking for a father he was gone
...''

Katika wimbo huo, utaona kuwa Pac labelled his daddy 'the Coward', 'a Stranger' !

Pia katika wimbo uitwao 'Still I Rise' (ulibeba jina la Album released 1999) by OutLaws, 2pac kaelezea hisia zake kuhusu kutelekezwa na baba mzazi. Baadhi ya misitari Pac akitema kwenye mic:

''Somebody wake me, I'm dreamin'
I started as a seed, the semen
Swimmin' upstream, planted in the womb while screamin'
On the top was my pops, my mama screamin' stop
From a single drop, this is what they got

Not to disrespect my peoples, but my papa was a loser
Only plan he had for mama was to fvck her and abuse her
Even as a little seed, I could see his plan for me

Stranded on welfare, another broken family... ''

Ni misitari iliyotumia lugha kali kuonesha ni jinsi gani Pac alikuwa na machungu mazito baba kusepa na kutelekeza family. Pac was a guy who does not sugar-coat things. He spoke what he knows, not the hearsay. He talked raw! He used to spit the truth.

KWANINI hasa nimeshusha siredi hii? Kilichonisukuma ni kimoja tu. Leo katika pekua pekua korido za JF, nikakutana na uzi huu Baba ake Ommy Dimpoz alalamika kutengwa na mwanae
Kwamba dingi analalama kutelekezwa na mwanae Ommy Dimpoz. Dingi anashindia mihogo huko Mboka wakati Ommy anakula 'bata' town bongo darSlum. Kwanza nilishindwa kumshangaa huyu mzee, ila maswali kadhaa yakatalii akilini mwangu... Je mzazi alimuandaa mwanae kimaisha? Aliandaa future ya mtoto? Aliplay part yake kama mzazi? Alitoa support kwa mtoto ktk makuzi yake? Hakukataa mimba? Hakukimbia majukumu as real man?

Kabla sijapata majibu wala majawabu ya maswali hayo, ghafla nikakumbuka yalomkuta Celeb wetu Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote... kukimbiwa na baba utotoni, then dogo kakua na 'katusua' ndipo dingi anaibuka kutoka mafichoni anautangazia ulimwengu kuwa yeye ndiye baba mzazi na anaona anastahili kupata matunzo kutoka kwa mwanae. Baada ya kuusoma uzi huo kuhusu baba wa Ommy, nikajisemea moyoni... wale waleee waliokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa akakata kamba!

Wanaume wenzangu, let us take care of our offspring. Let's be real men. Let us be forefront and fully responsible in our kids raising. You can dodge responsibility, but you CAN NOT dodge the consequences!

Mara baada ya kifo cha 2pac, mwaka 1997 biological father William Garland alifungua kesi ya madai dhidi ya Afeni Shakur (mama wa 2pac). Katika kesi hii, dai lake lilikuwa moja tu, alitaka apewe nusu ya mali/estate ya marehemu Pac (a lot of Millions dollars) kwa kigezo kwamba yeye ndiye baba mzazi. Alidai naye apewe mirathi. Ushahidi wake pekee ilikuwa ni DNA Test ambayo kweli ilithibitisha pasi na shaka yeye ndiye biological father. Lakini Mahakama Kuu mjini Los Angeles ilipiga chini dai lake. Mahakama ilisema kwamba he did very little to help raise his son. Sperm pekee does NOT amount to the 'standards' of fatherhood. Jamaa alishindwa kesi yote akanyimwa mirathi, hakulamba hata senti. 2pac's estate yote akapewa mama mzazi Afeni Shakur. Source: L.A Times, Dec 10 1997... Father of Tupac Shakur is denied share of estate

View attachment 704915

Hii inatufundisha nini? Ukikataa mimba au kutelekeza mtoto, basi nawe baadaye waweza kutelekezwa pia na kukataliwa! Eee, KARMA is always a sweet b.i.t.c.h! Karma menu is always fair, you get served what you deserve.

Ukipitia pitia aspects za Parenting & Parenthood, kuna kitu kinaitwa 'Affection & Bondage'. Kwamba 'connection na mapenzi' kati ya mtoto na mzazi hujengwa mapema kuanzia ujauzito mpaka pale mtoto atapokua. Ukitelekeza mtoto, usitarajie baadaye mtoto akupende na kuwe na real 'connection' kati yenu, never! Mtoto atabond na yule aliyekuwa naye muda wote wa makuzi yake.

Imagine tangu kuzaliwa mpaka unafika umri wa 20's hujawahi kuvaa hata kashati kutoka kwa baba mzazi. Hujawahi hata kuvaa kakiatu kutoka kwa baba mzazi. Wakati huo baba yupo hukooo anakula mema ya nchi, mitungi kwa sana, n.k. Unakua na kuanza hustling za maisha, ndipo sasa baba anaibuka kuanza kukutambua, na analalama eti umpe matunzo. Hell NO! Natambua kuwa katika family/relationship break-ups yeyote aweza kuwa pasua-kichwa na chanzo, either mama au baba. Lakini whatever the case, kuachana kwenu (be it separation or divorce) kusiathiri kabisa child care & support.

Hata kama ni fukara au masikini kiasi gani, just play your part as a father kwa mtoto. Support yoyote ile na uwepo wako kwake ndivyo vitu vitavyowaunganisha, ndiyo mambo yatayojenga 'connection' kati yenu. Mfano mama wa Diamond, hakujua kuwa mwanae atakuja kuwa among of millionaires wa Tanzania. A jobless poor single mother at zero ground, lakini hakukimbia watoto. Akakomaa kuwalea hivyo hivyo kimanati. Leo hii mambo mpwito mpwito life limechange, full kipupwe. Ni nadra sana kusikia mama katelekeza mtoto wake. Very rare! Much respect to all single mothers out there who are striving to up-bring your little angels.

Daily huwa nafanya sana maombi nifunguliwe milango ya riziki ili nije kuwa responsible father to my kids & family. I won't abuse a woman. I will never neglect/abandon my kid. Mwenyezi Mungu atanifanyia wepesi, inshaAllah.

Wanaume wenzagu tujisahihihe. Family stories za akina Diamond, 2pac, Ommy Dimpoz, na nyingine nyingi kama hizo ila haziko mainstreamed, zitukumbushe jambo na kutufunza kuhusu wajibu wetu kwa watoto tunaowazaa. Otherwise mwisho wa picha (finali uzeeni) you will end-up being treated as the 'Coward' or 'Stranger' by your bloody Son.

Jamii bora na salama huanza kujengwa/kuandaliwa at family level. Ukipanda magimbi, usitarajie baadaye kuvuna Tanzanite.

Aaargh.. nimechoka kutiririka gazeti. Ngoja nijongee kwa mama ntilie akanijazie siku ipite. Life goz'on... though It ain't easy!

No disrespect to my fellow men. Ni mtizamo tu brothers & elders, msijenge chuki. IMPERFECTION was inherited, so tunakumbushana.

Have an enjoyable weekend fellaz.

God bless the Woman .

-Kaveli-
Kwanza nikupongeze kwa uandishi mzuri, very objective, subjective, literaly based and excellently critical but also one sided story.

Umezungumza jambo muhimu sana hasa kwa wakati huu ambapo mimba zisizotarajiwa ni nyingi kupita kiasi despite all the efforts of sexual education inayofanywa na taasisi mbalimbali na jamii kwa ujumla.

God bless woman.
Ni vile tu wanawake nao hawana choice huenda nao wangekuwa wanawakimbia watoto if they had that opportunity, sifa tunazowapa huenda zingekuwa sio za kweli, zingekuwa kinyume chake.

Mku mtoa mada umewahi kufikiria kwamba umedate demu, anakuringia mwanzo mwisho, u.etupa efdorts zako zote ili kumpata na pengine anakuachia matusi, dharau na kejeli kibao, ukaamua kukomaa nae, pengine ni money oriented Woman, akakupa penzi kwa mnunuzi( just because you give her money), je ukimaliza hapo kinchobaki nyuma utafatilia?

Pengine hata mwanamke mwenyewe hajui baba wa mtoto ni nani mpaka mtoto azaliwe ijulikane anafanana na nani kati ya walio wengi( this is the women's mistakes let them carry their own cross).
And sometimes( nimeshuhudia na kunitokea hata mimi) mwanamke anatembea na wanaume wengine ihali wewe ndio uko nae, mpaka unashangaa hata akipata mimba huwezi amini kabisa kama ni yako( moyo haukubaki kabisa). Unaona fedheha kukubaki.mimba ambayo mtaa mzima au hata marafiki wako na hata wewe mwenyewe unaona kabisa unauziwa mbuzi kwenye gunia( yes you hit the cervix, may be the very same day another men hit it).

Katika.maswala la kifamilia nwakati.mwingine ni ngumu sana kusolve hizi conflicts na ndio maana unaona kamwe haziishi maana binadamu( wanaume na wanawake hawaishi vituko).


N:B i'm the product of the pops who had no plans for my mother but only fck her.

But still i consider the other side of the coin, i'm not here to just put blames to either of parents, however, whatever you narrated is all the truth.

When woman are still hot in their young ages ni matatizo, anaweza akawa anakukera kila siku na kukutambia nipe talaka yangu kama ni mtoto hanishindi kulea, bila kufikiri impact ya kulea as a single mother, life is full.of dynamics, kesho hivi kesho vile. Lakini mtoto anayekuwa at the end life la kutelekezwa na baba linauma sana na linatesa hata kama Mama ana uwezo wa kusupply kila mahitaji.

Ujumbe wako na tjread yako ntaishare kuna rafiki yangu wa karibu sana anadalili za kutelekeza mtoto wake mwenyewe wa kumzaa. Hii itamfunza kitu.
 
''kipimo unacho mpimia mwenzako ndicho hicho hicho utakacho pimiwa na wewe'' ...
Mkuu nimependa hayo maneno yako. Nami pia sitokuja kutelekeza mtoto maishani mwangu. Tuendelee kukumbushana wanaume. Karibu bro.

-Kaveli-
Mkuu Keveli, nakuvulia kofia mkuu, kwa hilo li Sredu umechimba madini sana, hilo ni bonge la thred kwa 2018 umechukua tuzo.

Lakini mkuu kuna wakati unatelekeza mtoto hata hujui kama umetelekeza maana kazaliwa mazingira ya kutatanisha sana.

Umenunua mgegedo, kesho unaambiwa nina mimba yako, mimba kwa muuzaji? Haiwezekani mwisho wa siku utatufanya tulee watoto si wetu.

Wanawake wajanja sana.
 
Huu uzi mbeleni watu wa magazeti watauiba n'a hawataonyesha credit kwa mleta uzi, uzi mkare sana huu
uzi umepikwa ukapikika.
As a seed, swimin' upstream from a single drop.

2pac muhuni sana.

My mother screamin' stop stop! This is what they got! Hahahaaaa
 
uzi bora sana huu!!!
nasikitika walengwa wengi tutaudharau..


Ahsante mkuu. Siku hizi watu wanapenda zaidi habari zinazoburudisha, kuliko zinazofunza. We live in a crazy world!

-Kaveli-
 
Mkuu kaveli.huu uzi umenitoa machozi aisee. Mimi ni miongoni mwa watu niliolelewa na mama peke yake! Mbaya zaidi baba alikuwepo na uwezo wa kunilea alikuwa nao ila aliamua kwa makusudi kunipotezea ili kumkomesha mama. Mama alipambana mpka sasa najitegemea.hongera sana mkuu.kutukumbusha majukumu!
 
Thanks for this reminder bro.

Dah umenikumbusha a lot of things...life hii!!!!!


Mkuu wangu Mentor , kwema?

Karibu mkuu. Life hii ina mengi mazito. Watu tunapitia magumu, ila hatuchoki kumuomba Mola... zamu kwa zamu.

-Kaveli-
 
Ni kweli kama hutomtunza mtoto hasa wa kiume lazima atakutosa baadae.Lakini mtoto wa kike,lazima amtafute baba yake hata kama baba alimkimbia.
"Mtoto wa kiume na mama yake,mtoto wa kike na baba yake."
Mtoto wa kike lazima atakukumbuka baba hata kwa shati tu!
 
Lucky Dube
"God Bless The Women"

In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women

Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right

They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right
[Chorus: till fade]
 
Mkuu kaveli.huu uzi umenitoa machozi aisee. Mimi ni miongoni mwa watu niliolelewa na mama peke yake! Mbaya zaidi baba alikuwepo na uwezo wa kunilea alikuwa nao ila aliamua kwa makusudi kunipotezea ili kumkomesha mama. Mama alipambana mpka sasa najitegemea.hongera sana mkuu.kutukumbusha majukumu!
Huu uzi unaibua mengi, mkuu ulijaribu kuulizia sababu ya baba kukutenga? Tunaweza kuwalaumu wanaume kumbe mama ndiye alichangia kwa asililimia 90% wewe kukosa malezi ya baba na kamwe hawezi kukwambia ukweli zaidi atakwambia mabaya ya baba tu.
 
Lucky Dube
"God Bless The Women"

In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right

[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women

Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right

They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right

[Chorus: till fade]
Mkuu kumbe wewe ni mpenzi wa Lucky, hata Keveli namuona ni mfuasi mkubwa sana.

Nimeoma quotes zake ktk kutoa hisia zake, maneno kama,
God bless women
Crazy world
Think about street children...zote ku praise the good side of women.

Lakini usisahau pia Luckydube aliimba
-Women of today
-Cool down
- Keep on knocking
- I will never fall in love
- It 's not easy

Zote hizi akijaribu ku critique the harm side of women hasa kwenye mambo ya familia ikiwemo.hili la.kutelekeza watoto.
 
Back
Top Bottom