Miss you sana dearestKweli sipitii sana humu siku hizi. Fast life, ila nakuwa nachungulia mara moja moja kama hivi.
Miss ya sana dear Jakitoo.
-Kaveli-
Kachanganya lugha mkuu so watoto wajuao lugha ya malkia ndio watauelewa ambao ni wachache humu!!Haya madini wabongo wengi hawatapenda kusoma maana tumezoea story za vibamia, harufu and the alike!!!
MuoneeeNimefurahi sana pia kukuona dearest. Nimekumbuka meeengi mazuri mazuri.
-Kaveli-
''They do not run from responsibilities''. Word Up !
Thanks mkuu.
-Kaveli-
Neno "Being responsible" ni neno pana sana na huanzia mbali, kuna mtu hapo juu naona amezungumzia mimba kwa muuzaji, huyu ni mtu mwenye dalili zote za kuwa . "Irresponsible " how in the name of hell unaenda mwaga ndani kwa muuzaji? Kwani matokeo ya kumwaga ndani ni yapi? Kwanini siku ukiletewa mimba ushangae ikiwa ushawahi mwaga ndani na uwezekano wa wewe kuwa mhusika kuwa ni mkubwa?
Ubinafsi pia ni jambo linalosababisha watu kuwa irresponsible by choice, kama mwanamke amekunyanyasa, au vinginevyo huoni kama ni adhabu kubwa sana kutelekeza your own blood? Ubinafsi wakusema atajua mwenyewe na mwanae, ndio unaopelekea mtu aamue kumtelekeza mama na mtoto wake.
Breakups, hili pia ni tatizo jingine ambalo ikitokea walio brake up hawana busara basi victim huwa watoto. Ikitokea wahusika waliotengana kila mtu akapata new marriage au mahusiano mapya basi kimbembe huanzia hapa, hasa wanawake, kinachowafanya muwakataze waume zenu kuwaona watoto wao wa nje ninini? Mshawahi kujiuliza hawa watoto wenu wa kambo wamewakosea nini? Mtu atakujibu eti akienda kuonana na his former baby mama wanaeza kurudia kwa siri, come on!this insanity ushawahi kumzuia mwanaume kucheat na ukafanikiwa? Tuwe fair na hawa watoto wa nje ambao tayari tunajua wapo.
Kwakuwa life ni complicated thing, tujitahidi kadri tuwezavyo kuavoid unnecessary pregnancy.
Umeonae eeh, You got no right, pale baba anapomkataa live mtoto asiyemzaa baada ya kumlea kwa muda mrefu sana bila kujua kumbe hakuws mwanae wa kweli wa kumzaa.....ile nyimbo naisikiliza hadi natoa machozi.Bila kupepesa macho, mie mfuasi wa huyu jamaa tokea chekechea mkuu. Born to suffer, Mamaa, You got no right, I am sorry n.k
Ni kweli haya mambo hayana upande mmoja na yanatofautiana kati ya mtu na mtu lakini mara nyingi, wahanga ni watoto na akina mama.
Acha dharau aisee unampa ofa ya balimi?AROOO WE JAMAA KAMA UPO KARIBU NA MAGOGONI PITIA MENU YA JIONI HAPO, MWAMBIE MPISHI WA IKULU PIA, AKUHESABIE MENU KILA SKU
KWA SABABU UMESELELEKA VITU VYA KWELI (IN GENTAMYCINE VOICE)
UKITOKA HAPO, NENDA TBL AGZA BALIMI KRETI 3
Kaka Kaveli( nimekuita kaka kwa Heshima), unadhani basi nina neno juu ya mtazamo wako, mkuu umeshauaaaaa! Mimi najaribu tu kuendeleza thread lkn kila kitu nakupata vizuri sana.Yep, the narration sounds one-sided. Haya mambo ni pande zote, lakini kwa jicho la uhalisia... wanawake & watoto ni more victims compared to men.
Lakini whatever the case might be, kivyovyote vile... mapenzi/mahusiano ya wazazi kufika tamati ISIWE ni sababu ya kumtelekeza mtoto pia. Thus, any conflict kati ya wazazi should NOT be a 'justification' ya baba to abandon his young bloody kid. That's where I am basically centered if ya readin' btn the lines.
Thanks for your great words though.
-Kaveli-
Sijui nikutafute wapi tukae chini tuzungumze haya maswala muhimu, i'm so interested on how you got in touch to this world.Frankly, Hip Hop na Reggae ndiyo mziki wangu of all time.
-Kaveli-
Asante sana mkuuPole sana madam Sakayo endapo uzi huu umekukumbusha mengi. We live in a crazy world! Ila ni wajibu wetu kuendelea kukumbushana na kuwekana sawa.
Wanawake mmejaaliwa uvumilivu wa hali ya juu sana kwenye mahusiano. Ni mengi yanawakumba na mnasimama imara.
-Kaveli-