Mkuu kumbe wewe ni mpenzi wa Lucky, hata Keveli namuona ni mfuasi mkubwa sana.
Nimeoma quotes zake ktk kutoa hisia zake, maneno kama,
God bless women
Crazy world
Think about street children...zote ku praise the good side of women.
Lakini usisahau pia Luckydube aliimba
-Women of today
-Cool down
- Keep on knocking
- I will never fall in love
- It 's not easy
Zote hizi akijaribu ku critique the harm side of women hasa kwenye mambo ya familia ikiwemo.hili la.kutelekeza watoto.
umenena kweli tupu kabisa!Ahsante mkuu. Siku hizi watu wanapenda zaidi habari zinazoburudisha, kuliko zinazofunza. We live in a crazy world!
-Kaveli-
Mkasa wa JAMIE FOXX ni mzito sana.
Yaani kutelekezwa na Wazazi wake wote wawili!
Akiwa ni MTOTO mwenye Umri wa Miezi SABA tu!
Lakini pamoja na hayo yote hakuweka Kinyongo, na alichokifanya ni yeye (JAMIE) kuwatafuta WAZAZI wake.
Na mpaka kufikia kuwatafuta WAZAZI wake yeye (JAMIE) ameshakuwa Mtu mzima, Maarufu (Jina kubwa) na mwenye PESA.
Kwa kweli ana MOYO wa kipekee, na ni MTU wa kusamehe.
Kwa huu ULIMWENGU wetu tulionao ni vigumu sana kukutana na MTU mwenye MOYO kama wake.
Abarikiwe sana
Kwanza nikupongeze kwa uandishi mzuri, very objective, subjective, literaly based and excellently critical but also one sided story.
Umezungumza jambo muhimu sana hasa kwa wakati huu ambapo mimba zisizotarajiwa ni nyingi kupita kiasi despite all the efforts of sexual education inayofanywa na taasisi mbalimbali na jamii kwa ujumla.
God bless woman.
Ni vile tu wanawake nao hawana choice huenda nao wangekuwa wanawakimbia watoto if they had that opportunity, sifa tunazowapa huenda zingekuwa sio za kweli, zingekuwa kinyume chake.
Mku mtoa mada umewahi kufikiria kwamba umedate demu, anakuringia mwanzo mwisho, u.etupa efdorts zako zote ili kumpata na pengine anakuachia matusi, dharau na kejeli kibao, ukaamua kukomaa nae, pengine ni money oriented Woman, akakupa penzi kwa mnunuzi( just because you give her money), je ukimaliza hapo kinchobaki nyuma utafatilia?
Pengine hata mwanamke mwenyewe hajui baba wa mtoto ni nani mpaka mtoto azaliwe ijulikane anafanana na nani kati ya walio wengi( this is the women's mistakes let them carry their own cross).
And sometimes( nimeshuhudia na kunitokea hata mimi) mwanamke anatembea na wanaume wengine ihali wewe ndio uko nae, mpaka unashangaa hata akipata mimba huwezi amini kabisa kama ni yako( moyo haukubaki kabisa). Unaona fedheha kukubaki.mimba ambayo mtaa mzima au hata marafiki wako na hata wewe mwenyewe unaona kabisa unauziwa mbuzi kwenye gunia( yes you hit the cervix, may be the very same day another men hit it).
Katika.maswala la kifamilia nwakati.mwingine ni ngumu sana kusolve hizi conflicts na ndio maana unaona kamwe haziishi maana binadamu( wanaume na wanawake hawaishi vituko).
N:B i'm the product of the pops who had no plans for my mother but only fck her.
But still i consider the other side of the coin, i'm not here to just put blames to either of parents, however, whatever you narrated is all the truth.
When woman are still hot in their young ages ni matatizo, anaweza akawa anakukera kila siku na kukutambia nipe talaka yangu kama ni mtoto hanishindi kulea, bila kufikiri impact ya kulea as a single mother, life is full.of dynamics, kesho hivi kesho vile. Lakini mtoto anayekuwa at the end life la kutelekezwa na baba linauma sana na linatesa hata kama Mama ana uwezo wa kusupply kila mahitaji.
Ujumbe wako na tjread yako ntaishare kuna rafiki yangu wa karibu sana anadalili za kutelekeza mtoto wake mwenyewe wa kumzaa. Hii itamfunza kitu.
Huu uzi mbeleni watu wa magazeti watauiba n'a hawataonyesha credit kwa mleta uzi, uzi mkare sana huu
Mkuu Keveli, nakuvulia kofia mkuu, kwa hilo li Sredu umechimba madini sana, hilo ni bonge la thred kwa 2018 umechukua tuzo.
Lakini mkuu kuna wakati unatelekeza mtoto hata hujui kama umetelekeza maana kazaliwa mazingira ya kutatanisha sana.
Umenunua mgegedo, kesho unaambiwa nina mimba yako, mimba kwa muuzaji? Haiwezekani mwisho wa siku utatufanya tulee watoto si wetu.
Wanawake wajanja sana.
Mkuu kaveli.huu uzi umenitoa machozi aisee. Mimi ni miongoni mwa watu niliolelewa na mama peke yake! Mbaya zaidi baba alikuwepo na uwezo wa kunilea alikuwa nao ila aliamua kwa makusudi kunipotezea ili kumkomesha mama. Mama alipambana mpka sasa najitegemea.hongera sana mkuu.kutukumbusha majukumu!
ujumbe mzuri sana,ila pia mkumbuke kutowadharau single mother.single mother wanahaki ya kupendwa na kuolewa pia.
Lucky Dube
"God Bless The Women"
In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women
Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right
They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right
[Chorus: till fade]
Si ndo hapoHahahahaa habari za 'makalio makubwa' na 'Mihogo ya jang'ombe' ndo vimetawala jukwaa.
-Kaveli-
Mkuu kumbe wewe ni mpenzi wa Lucky, hata Keveli namuona ni mfuasi mkubwa sana.
Nimeoma quotes zake ktk kutoa hisia zake, maneno kama,
God bless women
Crazy world
Think about street children...zote ku praise the good side of women.
Lakini usisahau pia Luckydube aliimba
-Women of today
-Cool down
- Keep on knocking
- I will never fall in love
- It 's not easy
Zote hizi akijaribu ku critique the harm side of women hasa kwenye mambo ya familia ikiwemo.hili la.kutelekeza watoto.