Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

Unaakili sana kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ulichoquote kosa liko wapi? Au ni hisia zako tu!!!
Uliposema wanaume wanajifanya malaika kitu ambacho aliyetoa uzi hakusema. Na kuhusu kosa hamna kwasababu kila mtu ana maoni yake. Kuhusu hisia naamini kila binadamu ana hisia ndiyo maana hata wewe uliujibu huu uzi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kila mtu ana mawazo yake!! Sasa mbona wewe hutaki nitoe yangu!!!

Ukweli ni kwamba mnajikutaga malaika na makosa ni ya wanawake tu, hata mkikosea bado mnatafuta sababu ili ionekane mwanamke ndio chanzo🙆🙆🙆🙆
 
Kumbe kila mtu ana mawazo yake!! Sasa mbona unayapinga yangu?
Sijayapinga kimihemko na ndio maana kuna community kama hizi ili watu wapimishe hoja kwa lengo la kuburudisha na kuelimisha. Hivyo ukisema mawazo yako yasipingwe haikuwa na haja ya kuyaleta hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu.

Rest with Angels daddy.
 
Very Sad Indeed: Hao wakubwa watapata mateso sana uko mbeleni
 
Pole
Tee wife material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…