Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

Hakuna aliye mkamilifu! Naamini hata kina kaka wapo ambao hawaeleweki pia!

Ukiwa serious unamshirikisha Mungu akupe mke ambaye ni sahihi kwako!
Upo sahihi kabisa! Ni kumuomba Mungu tu akupe mtu sahihi!

Ukiacha kaukorofi unakua na busara sana!
 
Wanaume tutafte pesa na tuandae maisha yetu ya badae, wekeza kwa watoto kama unao kama kuyimiza wajibu lakini si kutegemea watakuja kukuhudumia.

Wengi tunaona hata kama wazazi wanaishi pamoja katika uzee wao, watoto wanachokifanya wanamchukua mama yao, father anabaki nyumbani anahangaika kulinda nyumba na mambo mengine.

Mungu atusaidie kutambua na kujiwekea msingi wa uzeeni, wote ni wazee watarajiwa kama tukijaaliwa kufika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliye mkamilifu! Naamini hata kina kaka wapo ambao hawaeleweki pia!

Ukiwa serious unamshirikisha Mungu akupe mke ambaye ni sahihi kwako!
Huwa nawadeku tu wanavyojitia malaika vile, sijui kwanini hiki kizazi cha wanaume ni legelege hivi!! Wamekua watu wa kulia lia tuuu na visingizio visivyo kichwa wala miguu. Sijui tunakosea wapi ktk kuwalea. Napata ukakasi sana na vichwa vya familia vijavyo[emoji134][emoji134] Mungu atusaidie tu kwakweli.
 
I wish nisikilize story ya upande wa pili[emoji848][emoji848]
 
Wana tabia ya kutupa lawama kwa jinsia pinzani lakini haipaswi kuwa hivyo!.
Sote ni binadamu lazima tuwe tofauti kwa namna moja ama ingine!
 
Wana tabia ya kutupa lawama kwa jinsia pinzani lakini haipaswi kuwa hivyo!.
Sote ni binadamu lazima tuwe tofauti kwa namna moja ama ingine!
Sio wao huwa wanasema mwanamke sura tabia wanawaambukiza zao? Sasa wamewaambukiza tabia zao chafu then wanaanza kulia lia[emoji134]
 
Sio wao huwa wanasema mwanamke sura tabia wanawaambukiza zao? Sasa wamewaambukiza tabia zao chafu then wanaanza kulia lia[emoji134]
Hahaha hahaha
Nimecheka mnooo jamaniii! Kumbe ndo kauli mbiu yao eeh!
Ko wanapambana na tabia zao wenyewe!
 
Hakika, huwa tunajisahau tunaongozwa na akili za kibinadamu kwenye suala nyeti la kumpata mwenza!

Hahaha hahaha, mecheka sana jamanii, mie mkorofi kwako tuu ujue!
Naomba uniweke kwenye maombi yako,ili na mimi niweze kumpata mpendwa wangu,nikafurahi kama wengine..

Huo ukorofi inabidi uuache kabisa..
 
Hahaha hahaha
Nimecheka mnooo jamaniii! Kumbe ndo kauli mbiu yao eeh!
Ko wanapambana na tabia zao wenyewe!
Hizo ni tabia zao wenyewe, bora wangewaacha tu na tabia zao, hivi vilio visingekuwepo.
 
We endelea kuwahudumia watoto wako wakiwa wakubwa watajua nani alikuwa muongo baina ya ninyi wazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba uniweke kwenye maombi yako,ili na mimi niweze kumpata mpendwa wangu,nikafurahi kama wengine..

Huo ukorofi inabidi uuache kabisa..
Usijali kabisaaa! Naamini Mungu atakupa wa kufanana nawe! Utafurahi na kuuona uzee wako ukiwa na umpendaye!

Mie sio mkorofi kabisaaa, Sipendi tuu anko wangu aonewe!
 
Hizo ni tabia zao wenyewe, bora wangewaacha tu na tabia zao, hivi vilio visingekuwepo.
Nafikiri wamekusikia!
Waoe mwanamke mwenye tabia, sura ni ziada!
 
Sio wao huwa wanasema mwanamke sura tabia wanawaambukiza zao? Sasa wamewaambukiza tabia zao chafu then wanaanza kulia lia[emoji134]
Nyie ndio mtakua mmetuambukiza tabia zenu mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…