Wanaume tubadilike

Watu wamesahau kazi za msingi za makalio. Sasa yanafosiwa kutumika kinyume na utaratibu. Utakuwa na watoto baadae au unao na wao watafanyiwa vivyo hivyo.:p
 
Binafsi naamini huko ni kupangiana/kuingiliana maisha.

Watu wanatakiwa kufanya wanachopenda this life is too short
 
Fafanua
Je, anakuaje chanzo cha ushoga?
Kwani mashoga wanajiingilia wenyewe? Wanaingiliwa na wanaume ambao wameshazoea kufanya kinyume na maumbule.
Wanaume wanaotembea na mashoga walianzia kuingilia wanawake kinyume na maumbule.
 
Mabinti wa siku hizi hawachelewi kuhamishia kuhamishia SIDE B.

sisi tusiokula SIDE B wanatuona ni mambwiiga ya mwisho.
 
Kwani mashoga wanajiingilia wenyewe? Wanaingiliwa na wanaume ambao wameshazoea kufanya kinyume na maumbule.
Wanaume wanaotembea na mashoga walianzia kuingilia wanawake kinyume na maumbule.
Duh. Kumbe?!..🤔
 
Back
Top Bottom