naomba ieleweke wale ni wahuni kidizaini..ila huyu ni mwanadada amekukubali amekuamini na ana uhakika utarinda mambo yenyu ya faragha kisha zimkute habari kuwa umeshatangaza...si poa mwenzangu
we kwenda..mwanaume gani anajisifia idadi ya wanawake aliotoka nao??...wenzako wanajisifia mali we hapo na ubwege wa kwako unatetea upumbavu..
we nawe vipi??nani kakwambia nimechapiwa?
nakubaliana nawe mkuu..huenda wasijue lakini ni mojawapo ya kujikoseshea heshima hata kwa wanaotaarifu..mm ukinijia na story za aina hiyo hamna siku nitakueleza mambo muhimu maana siwezi kukuamini kuwa utaihifadhi siri hiyo