the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
- Thread starter
-
- #21
ahaa..wakati mwingi kama mkeo kamegwa hawatangazi sana..ila kama kuna mdada fulani hivi bado kuolewa huyo utasikia kila mtu akitangaza kammega..iwe kweli au si kweli..ila kweli hii tabia ikufee,,coz unaeza megewa mkeo alaf wakatangaza....inaumaje.....bora tu wale nisijue
wengine wanaweka wazi mkuuWanaume wengi tuna tabia hii. Kwangu mimi huwa nasimulia ila sitaji jina la huyo bidada
Mambo mawili mkuu,au unyamaze ama mkafanyie eneo la wazi watu waone mtanange.natumai wote m salama...
kuna mambo mengi wanaume tunayafanya ili kuonyesha umaarufu wetu wa kiuanaume ila mengine yanakera..kati ya mambo haya ni hili la kujipiga kifua kwa kufanikiwa kumega tunda la mwanamke au wanawake fulani..ila si uungwana kabisa kusimulia kwa kila yeyote kuwa umefanikiwa..hivyo basi nawaulizeni wanaume tuwache hii tabia ya kiuvulana..kama hujalala na mwanamke fulani,wacha kutangaza umelala naye,na kama kweli umefanikiwa kulala naye,wacha kutangaza umelala naye...ndiyo uanaume..
naombeni kuwasilisha ili tupate kupeana maoni katika suala hili..asante...kina dada pia tunataka maoni yenyu hivyo mnakaribishwa
Huyo ni mzeee wa fix.[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Saint Ivuga njoo uone huku
washuhudie wenyewe kuliko wewe kuwapelekea vistoriMambo mawili mkuu,au unyamaze ama mkafanyie eneo la wazi watu waone mtanange.
kenya kuna nini mkuu?Huyo ni mzeee wa fix.
Afu mwambie aende kenya
ila sidhani wao wanatangaza wakishakutoanisha mihela yakoMimi nitaendelea kujivuna na kuwataarifu washkaj zangu kama nimepita Kwa dem fulan maana tofaut ya wao na sisi ni kwamba wao wana thamini pesa zetu kuliko papuch zao na sisi tuna thamani papuchi zao kuliko hela zetu.Sasa apo nisitambe kwa nini wakati wao hudhani thamani ya pesa na kipochi manyoya ni sawa!!
Hao sasa wanatafuta sifa za kijingawengine wanaweka wazi mkuu
Haya amkaa.[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Saint Ivuga njoo uone huku
hahaa..kwa raha zako kakaWe vipo videm visumbufu bwana an mi hata mseme lazma nipige kifua changu kama loboti kujipongedha [emoji1][emoji1]
Nimepata ham ya kujua jinsia yako tafadhali.....natumai wote m salama...
kuna mambo mengi wanaume tunayafanya ili kuonyesha umaarufu wetu wa kiuanaume ila mengine yanakera..kati ya mambo haya ni hili la kujipiga kifua kwa kufanikiwa kumega tunda la mwanamke au wanawake fulani..ila si uungwana kabisa kusimulia kwa kila yeyote kuwa umefanikiwa..hivyo basi nawaulizeni wanaume tuwache hii tabia ya kiuvulana..kama hujalala na mwanamke fulani,wacha kutangaza umelala naye,na kama kweli umefanikiwa kulala naye,wacha kutangaza umelala naye...ndiyo uanaume..
naombeni kuwasilisha ili tupate kupeana maoni katika suala hili..asante...kina dada pia tunataka maoni yenyu hivyo mnakaribishwa
Hakuna mwanaume anaefanana mleta uzi aiseee.....Kumbe ata wanaume wanafanya nilijua ni vivulana tu
Tubadirike= tubadilike
Kwahiyo unaumia mvulana akisimulia kwamba ametoka na mwanamke ndio unakuja kuanzisha uzi...[emoji45] [emoji45]sivyo mkuu ila ni tabia ya wengi...kule kwenye mabaa unapiga story na washikaji kisha kati yao anaibua suala hili..si ungwana
Alafu utakuta mwanamke wake amemdanganya na akaamini kwamba sio kweli, na jamaa limeamini kwamba msela anatangaza ili kujipea maujiko.Itakuwa mtoa mada umemegewa tunda lako, halafu jamaa katangaza kakumegea[emoji3][emoji3]
Mkuu pambana tu na hali yako...
usiniulize kiswali cha ajabuajabu bwana...Nimepata ham ya kujua jinsia yako tafadhali.....
wee kaka!!kwa hisani yako mkubwa wangu tusikoseane heshima..kama kuna raha yoyote katika taarifa hizo we endeleza ila usinizingue kihivyo..Alafu utakuta mwanamke wake amemdanganya na akaamini kwamba sio kweli, na jamaa limeamini kwamba msela anatangaza ili kujipea maujiko.
Huyu atakua ni moja kati ya mabwege wachache wanao udhalilisha uanaume wetu