Wanaume tubadilike

the viking

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
1,170
Reaction score
1,373
Natumai wote ni salama,

Kuna mambo mengi wanaume tunayafanya ili kuonyesha umaarufu wetu wa kiuanaume ila mengine yanakera kati ya mambo haya ni hili la kujipiga kifua kwa kufanikiwa kumega tunda la mwanamke au wanawake fulani ila si uungwana kabisa kusimulia kwa kila yeyote kuwa umefanikiwa hivyo basi nawaulizeni wanaume tuache hii tabia ya kiuvulana kama hujalala na mwanamke fulani, acha kutangaza umelala naye na kama kweli umefanikiwa kulala naye, acha kutangaza umelala naye ndiyo uanaume.

Naombeni kuwasilisha ili tupate kupeana maoni katika suala hili asante kina dada pia tunataka maoni yenu hivyo mnakaribishwa.
 
Mkuu mada yako imenitouch saana.

Mfano mimi kiukweli mwanamke niliyepata kulala naye ni mama yangu nilipokuwa mdogo. Mwingine hata sijawahi.
kama nakuona vile..we Daby huaminiki...
 
Itakuwa mtoa mada umemegewa tunda lako, halafu jamaa katangaza kakumegea[emoji3][emoji3]
Mkuu pambana tu na hali yako...
sivyo bwana..ukinimegea mke nakuzawadia huyo mke..
 
Wanaume wengi tuna tabia hii. Kwangu mimi huwa nasimulia ila sitaji jina la huyo bidada
 
ila kweli hii tabia ikufee,,coz unaeza megewa mkeo alaf wakatangaza....inaumaje.....bora tu wale nisijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…