jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Habari wakuu..
leo wakuu nimetingwa sana na mawazo juu ya wanaume, malalamiko ni mengi sana juu yenu(baadhi)tatizo ni nini au ndio tuamini kweli huwa mnarogwa na vimada!?..
mwanaume mwenye ndoa kweli wewe ni wa kumuacha mke wako na watoto wako wazuri, kwasababu ya mwanamke wa nje?? na umemuacha ukijua kabisa mke wako hana kazi wala biashara..unategeme aishije na watoto wako.
Haya hilo weka pembeni..mwanaume unapoamua kuondoka na vitu vyote vya ndani na kuacha nyumba nyeupe, huwa unawaza nini wakati unatenda kitendo hicho..
Dhaa!!!kama sio akili zenu zinazowaelekeza kutenda hayo yote Mungu awasemehe, na kama ni kweli vimada wanakesha kwa waganga kuwaharibu waume za watu Mungu ndiye atakayehukumu..