kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Siku izi kuna tabia fulani ya wanaume some time najiuliza why imekuwa ivi
Mwanaume akiachwa na mwanamke kama ana picha zake za utupu ana zipost kwenye mtandao najiuliza kwanini wanafanya ivi Sipati picha kabisa.
Kuachwa na kuachana sio kizazi chetu ndo kilianzisha hata mababu zetu nao walikuwa wanapendana na kuachana lakini huwezi kukuta mwanaume anatoa siri za ex wake kwa mwanaume mwingine lakini siku hizi imekuwa fashion kabisa.
Tuache kuzaraulisha wanawake najua inauma saana kuachwa na mwanamke umpendaye kwa dhati lakini usifikie hatua ya kumpost mtandaoni wewe kubali matokeo tu mwanaume mwenzangu.
Na ninyie wanawake ukiona huna time na mwanaume plz usijaribu kula vitu vyake uku mwili wako ukiweka ni sehemu ya burudani mtapostiwa saana na kunyongwa [emoji1][emoji1][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787]