Juzi kati nilisafiri kutoka Dar kuja Tanga. Kando yangu kiti kingine, alikaa baba mtu mzima mtanashati. Kidogo akaja binti/mwanamama wa umri wa kijana---25-30's. Kufika Kibaha Mailimoja, mwanaume akanunua peas manne hivi (unajua ni ghali kidogo-1000 Tsh/each). Jicho langu ndani ya habari, akachukua mawili akampa mwanamama huyo. Akapokea, akaanza kula.
Tunaondoka, Lo! Salale, konda akapangua seat namba. Mwanamama akahamia kiti cha mbele kabisa. Akaletwa mtoto wa miaka kama 10 hivi-mjukuu wa huyo baba let say. Baba akanunua vitu vya kula kula, huyo mtoto/mjukuu wake hakumpa hata kidogo kama alivyofanya kwa mwanamama yule. Na hawakuwasiliana na mwanamama huyo mpaka tunafika Muheza mwanamama akateremka.
Nikajisemea kuwa wanaume tu dhaifu kwa wanawake!