Wanaume tafuteni pesa!!!

Wanaume tafuteni pesa!!!

Wanaume huwa hawapendi kuusikia ukweli, ila pesa na mapenzi ni pande mbili za sarafu zinazotegemeana.
Tafuteni pesa acheni kushinda kwenye mitandao mkitukana serikali na kupiga umbea. Heshima yako iko mikononi mwako,usijekusema hauheshimiwi kumbe ni vile umeshindwa kujitengenezea heshima mjini.
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.

Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Pipa na mfuniko
 
Back
Top Bottom