Wanaume tafuteni pesa!!!

Wanaume tafuteni pesa!!!

I always say this, a woman's best security is some money of her own. Wanawake tuwe na hela zetu. Roho zisitutoke kisa hela za mwanaume. If he has cash well and good, I mean we all want to feel special when our men spend on us.

Lakini kukaa ukisubiri leo mwanaume kaingiza kiasi gani na utaletewa ngapi is very humiliating.

Na ndo hapo huwa tunatumika vibaya sababu there will always be that need to reciprocate on the woman's part.
 
I always say this, a woman's best security is some money of her own. Wanawake tuwe na hela zetu. Roho zisitutoke kisa hela za mwanaume. If he has cash well and good, I mean we all want to feel special when our men spend on us.

Lakini kukaa unataka nikisubiri leo mwanaume kaingizwa kiasi gani na utaelewa ngapi is very humiliating.

Well said Karucee umeongea point kubwa sana!
Na hili jambo la wanawake kutegemea sana miili kama kitega uchumi ndo kunawafanya wengi zaidi wawe vituko kwenye real life!
Mwanaume ni mwananaume na anabaki kuwa mwanaume tu hata akiwa hana pesa leo utamuona kama mavi lakini huyo huyo kesho akizifumania pesa utakuwa tayari akufanye chochote kile!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wabaume wako uliokutana nao. Sikatai pesa ina influence. Ila naamini katika uwezo binafsi wa kiakili wa mwanaume na kujiamini. Mwanaume akiwa navyo hiv basi anajiweka kwenye nafasi nzuri. Ukiendekeza pesa kwamb ndio msingi wa kujiamini utapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said Karucee umeongea point kubwa sana!
Na hili jambo la wanawake kutegemea sana miili kama kitega uchumi ndo kunawafanya wengi zaidi wawe vituko kwenye real life!
Mwanaume ni mwananaume na anabaki kuwa mwanaume tu hata akiwa hana pesa leo utamuona kama mavi lakini huyo huyo kesho akizifumania pesa utakuwa tayari akufanye chochote kile!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisaaa Bowl Mouth

😄😄
 
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.

Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Halafu mwanamke wa umri huo anakuwaje na anatakiwa afanye nini??
Hahahaaaa!!
 
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.

Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Wakat tunatafta ela mjiandae kulamba koni Na kutoa t****o kwa bidii ili tuwagawie hzo ela Na nyie msizeeke mkiwa Na ela.
 
oo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering.

money is everything mwanaume asiye na hela anakuwa musumbufu sana kind of zezeta.

Mhubiri mmoja wa Kenya alisema usipokuwa na pesa wawezaliwa hata na mbwa wako...
 
Wanaume huwa hawapendi kuusikia ukweli, ila pesa na mapenzi ni pande mbili za sarafu zinazotegemeana.
Tafuteni pesa acheni kushinda kwenye mitandao mkitukana serikali na kupiga umbea. Heshima yako iko mikononi mwako,usijekusema hauheshimiwi kumbe ni vile umeshindwa kujitengenezea heshima mjini.
 
Umenielewa?unajua why nimeandika?kuna sehemu nimeandika mimi wa kukaa tu na sina chapaa?
I always say this, a woman's best security is some money of her own. Wanawake tuwe na hela zetu. Roho zisitutoke kisa hela za mwanaume. If he has cash well and good, I mean we all want to feel special when our men spend on us.

Lakini kukaa unataka nikisubiri leo mwanaume kaingizwa kiasi gani na utaelewa ngapi is very humiliating.

Na ndo hapo huwa tunatumika vibaya sababu there will always be that need to reciprocate on the woman's part.
 
I always say this, a woman's best security is some money of her own. Wanawake tuwe na hela zetu. Roho zisitutoke kisa hela za mwanaume. If he has cash well and good, I mean we all want to feel special when our men spend on us.

Lakini kukaa unataka nikisubiri leo mwanaume kaingizwa kiasi gani na utaelewa ngapi is very humiliating.

Na ndo hapo huwa tunatumika vibaya sababu there will always be that need to reciprocate on the woman's part.
Wanawake kwa kiasi chake wameamka, kama bado kuna mwanamke anasubiri pesa ya mume basi ni pepo tu hilo, maana hata mitaani wanamke wameamka hatari wanabeba familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetoa ushauri kwa jinsia zote ningeona poa sana. Kwa hiyo mwanaume akishatafuta pesa, wewe ni kula kulala?
Kama ni hivyo, wewe na wanawake wengine wenye mentality hiyo ni wapumbavu, wadangaji, wajinga nk.
 
Back
Top Bottom