Wanaume tabia hii vipi?

Niuzieni huyo mtt anisumbue mimi. .. nataka mtoto wakunisumbua wajameni
 
Mpe tigo atatulia na wewe na kubeba mtoto.
by the way....unasema upo mwenyewe umechoka kulea mtoto? Miss wa kuja jf kuchat unao wa kutosha ila kulea mtoto huwezi mpaka usaidiwe na mista sio?
some loose screws in ur brain
of
Acha kutetea ujinga
 
Hapa Mkuu unapotosha na kingine wewe unatakiwa kupelekwa central utoke j3. Mwanaume lazima ushirikiane na mwenzio kulea mtoto kama mlivyokuwa mnashirikiana kwenye kukata mauno, saasawa kijana? Nyambafu umenikasirisha sana kijana halafu nimegundua wewe ni Mario
 
Guys at least inabid mtu aonyeshe kujali as mko pamoja kwa malezi Sio majukumu yote Ni wew Hadi Unapata msongo wa mawazo sababu masaa 24 huna mtu wa kukupokea, inauma Sana kuona swala la malezi Ni lako peke yako wababa hawana Hata muda wa kushuudia maendeleo ya watoto
 
Pole sana mama na hongera kwa kupata kachanga, Huyo jamaa kamripoti kwa makonda kwamba ni mzururaji na kesho ni siku nzuri ili apelekwe central atoke j3.
 
tatizo mkimwachia mtu mtoto mnajisahau.. yaan utajizungusha weeeeee mpaka mtu anaboreka ila anashindwa kukuambia.. cha maana anasubiri umchukue tu.. uone kama atam'beba tena!
Heeeeee! Si pia ni mtoto wake au ni wa jirani mpaka aboreke kuwa nae !!!!!!!!!?
 
wanaume ni wabinafsi sana ,wana roho mbaya kuloko shetani lea tu mwanao mamy ishi nae tu maisha yaende
Dhaaaa!! Shemej yang
Cjui alitendea nn mpaka
Ukaamua kutulaaan
Wanaume wote aiseee


Maana,co kwa laaana hz
 
Dhaaaa hli swala la kukaa
Chin na kubembeleza mtt
Dhaaa mungu tu asaidie sana
 
wanaume ni wabinafsi sana ,wana roho mbaya kuloko shetani lea tu mwanao mamy ishi nae tu maisha yaende

Asee!!

Kama wanaume wana roho mbaya kuliko shetani, basi wanawake mtakuwa mna roho mbaya kuliko hata mwalimu wake na shetwani... Kumbuka nyie ndio chanzo cha huu uharamia wote unaofanyika katika ulimwengu huu.
 

Hivi hujui kwamba ukiwa na Mtoto mchanga tena huyo wa Miezi 3 kawaida hata Mbunye yako inakuwa haionyeshi ushirikiano na inakosa mvuto? Mwisho mbona naona kuuliza Kwako hapo mwisho kuwa huna chako tena naona ni jibu dhahiri na wala siyo swali? Maliza kulea Kwanza na acha Wivu Bibie sawa? Vumilia tu ila ukweli ni kwamba Mumeo sasa anabandua tu kwa kwenda mbele!
 
Mpe tigo atatulia na wewe na kubeba mtoto.
by the way....unasema upo mwenyewe umechoka kulea mtoto? Miss wa kuja jf kuchat unao wa kutosha ila kulea mtoto huwezi mpaka usaidiwe na mista sio?
some loose screws in ur brain
Mkuu nakupa
umeniongezea faida kubwa ubongo wako upo vzur asee
 
Swadaqta
 
My Valentine....BIG UP
 
Wanakwambia ndoa ni zaidi ya gereza la guantanamo bay, na mumeo bado hataki kukubali hilo. Yaani bado haja mature. Ana akili kama yangu tu!
 
kuna wanawake wakisha kuwa na watoto wanakuwa rafu rafu...wachafuwachafu sijui ni kuzidiwa na kaz ? wanaume hatupendagi.ndio maana hatukai nyumban
Lakini nawewe inabidi kumkumbusha na kumwelekeza mkeo....

Kuna kujisahau flan hivi sanyingine ukikaa kimya bila kumstua atazoea huo urafu wake nakama ujuavyo mazoea hujenga tabia...

Mwisho unajikuta hamu kwamwenzio inapotea na yeye anashindwa kukuelewa hatimae inakua sio ndoa tena bali ni godown.

Hivo kwakunyamaza kwako unakuta mahusiano yenu yanakosa mvuto. Ila inapokua na kukumbushana/kuelekezana kati yenu inakua salama yenu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…