Wanaume wengi ni kunguru wasiogugika!! Tena ni bora ujua mko wengi kuliko aku-fix eti uko peke yako!!!! Cha msingi mapenzi yapo na huduma unapata au madharau full? Wabaya ni wale ambao dharau ndo mwake akishapata jike lingini nje!! Kusagana si solution, nayo ni stress nyingine!! Hata wasagaji nao wana mabwana wa kike!!! Ha ha ha!!!
Kwi kwiiiiiiiii .. Dena Amasi una zake nini ??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
rafiki yangu BAK, nikiweka hadharani siri ya tabasamu langu hata nikiwa usingizini unaweza kuniona naanza kuwehuka, na nina uhakika kabisa utanikamata na kunipeleka rehab angalau nitibiwe kidogo.
ha haaaaaaaaaa, mlongo wangu, unataka kweli nimwage mchele kwa huyu rafiki BAK? ataweza kuingia mitini asiende kwa wadogo zetu tena na badala yake akatumia mbinu zetu kumfundisha mwingine halafu tukapata hasara.... tunamtaka atie timu mfaranyaki, na siyo ahamishie mbinu za mfaranyaki huko sijui wapi........ hakuna kuuza mechi mlongo wangurafiki yangu BAK na mi ni mtu wa cheko ile mbaya!nakupa ruhusa umuulize dada mkubwa kitu atakwambia halafu utasema mwenyewe!lol!siye kucheka raha ati!
Pole dada yangu, mie pia WANAWAKE wananitia Stress sana, nikaamua kupiga "PUNYETO"...... Madam mwenzangu umejitokeza na tatizo kama langu we are perfect match, ni PM Tusawazishane achana na kusagana!wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
Pole dada yangu, mie pia WANAWAKE wananitia Stress sana, nikaamua kupiga "PUNYETO"...... Madam mwenzangu umejitokeza na tatizo kama langu we are perfect match, ni PM Tusawazishane achana na kusagana!
umempata wapi huyo akupaye tabasamu usingizini na mie nipate wa kwangu?......Umeshawahi kupenda na kupendwa na ukawa na uhakika kabisa kuwa hapa napendwa? hiyo ndo situation niliyokuwa nayo mimi right now........yaani ukiona natabasamu usingizini ujue huyo mtu yupo mawazoni mwangu 24/7....kagoma kabisa kutoka kichwani mwangu......na mimi nimemruhusu tu atawale mawazo yangu
umeona eeeeeh!
rafiki yangu BAK, nikiweka hadharani siri ya tabasamu langu hata nikiwa usingizini unaweza kuniona naanza kuwehuka, na nina uhakika kabisa utanikamata na kunipeleka rehab angalau nitibiwe kidogo.
Umeshawahi kupenda na kupendwa na ukawa na uhakika kabisa kuwa hapa napendwa? hiyo ndo situation niliyokuwa nayo mimi right now........yaani ukiona natabasamu usingizini ujue huyo mtu yupo mawazoni mwangu 24/7....kagoma kabisa kutoka kichwani mwangu......na mimi nimemruhusu tu atawale mawazo yangu
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane