Wanaume stress tupu!!

wengine tuna mateja yetu!akha!twanuna tu usingizi ukitupitia,kisa umetupunguzia muda wa kuangakia macho!LOL!
AHSANTE SANA MUNGU WANGU KWA KUNIUMBA NA KUNIPA BARAKA YA KUUFURAHIA UANAMKE WANGU KIASI HIKI!
well said mlongo wangu.....kuna mateja haswaaaaaaaaaaaaaaa...... yaani hao hawaangalii kulia wala kushoto, ni macho mbele tu, lol!
 
another DOMPO dah!
 
THREAD INA NGUVU ZA GIZA NDANI YAKE..SI JAMBO JEMA HILO..MUNGU AWASAIDIE WADADA WASITEKWE NA STYLE HII YA KUTOKA KUZIMU MOJA KWA MOJA.😕:nimekataa
 
huna haya unahitaji maombezi tena ufunge siku saba umlilie muumba wako akusamehe mawazo haya machafu na ukome kabisa.Insanity girl
 
Hebu nitumie PM nikuunganishe na mdada mmoja hivi ni mzuri sana wa hii mambo hapa mjini......
 
Msalimie sana :majani7::majani7:, muulize dada yako FP inakuwaje anakuwa na tabasamu la nguvu hata usingizini? labda siri yake inaweza kukusaidia mlongo wake FP lol!

wengine tuna mateja yetu!akha!twanuna tu usingizi ukitupitia,kisa umetupunguzia muda wa kuangakia macho!LOL!
AHSANTE SANA MUNGU WANGU KWA KUNIUMBA NA KUNIPA BARAKA YA KUUFURAHIA UANAMKE WANGU KIASI HIKI!
 
Last edited by a moderator:

Umenifurahisha sana mkuu!!
Ungejua mkuu jinsi baadhi ya wanaume walivyo na mapenzi wala usingeshangaa! yaani wakati mwengine hadi yanafurika
Mimi nashangaa kwa nini wanaume wanayabania2 mapenzi yao kwa wenzi wao !!
Kama mwanaume atakuwa na busara basi kila mpenzi alienae atampenda na kila mmoja atahisi anapendwa zaidi !!

Ila si washauri wanaume wenzangu kuwa na wapenzi wengi !!!
 
Da Aishadii ulianza vizuri sana kumshauri mwenzio lkn conclusion yako sjaielewa kabisa kiukweli!!!
 

Yaani AD umenifanya nicheke na at the same time kusikitika. Ulichoongea ni kweli 200% na hakuna ubishi. Ubarikiwe sana
 
Msalimie sana :majani7::majani7:, muulize dada yako FP inakuwaje anakuwa na tabasamu la nguvu hata usingizini? labda siri yake inaweza kukusaidia mlongo wake FP lol!
rafiki yangu BAK na mi ni mtu wa cheko ile mbaya!nakupa ruhusa umuulize dada mkubwa kitu atakwambia halafu utasema mwenyewe!lol!siye kucheka raha ati!
 
Last edited by a moderator:
kutedwa tunatedwa kila cku,tunadanganywa kila cku,bt cwez kufikiria huo ujinga hata cku 1!@mtoa mada,hapa umekosea sana.....wanaume wote wanafanana,cha msingi play u a part!

Haeleweki,achana nae utapata mwingine.Period
 

Abeeee.. Eti umesemaje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Acha kutudanganywa wewe! We kama mkeo amekubali kukupeti peti ili hali anajua una kimada. Usi tu convince na sie lol.

Hakuna binadamu anaeweza kuenjoy mapenzi(kuwa kumfortable na mwenzi wake) ili hali akijua live anashea MaUTAMu na mtu mwingine.

Hao wanaojifanya wameridhika ni usoni tu .. Ila rohoni anajua ni namna gani anakuchemshia sumu akumalize kila mtu akose.

Ni hayo tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe kweli uchizi umeshaupata yaani unataka usagane na mwanamke mwenzako kutatua tatizo la mwanaume wako??

Hovyo kabisa .....nina zako.............

Kwi kwiiiiiiiii .. Dena Amasi una zake nini ??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…