THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,726
- 15,062
umeongea vizuri sana mkuu,
mimi labda niwatoe woga tu wanawake, ni kwamba wanaume wakipenda wanapenda kweli tena kwa moyo wote ila shida
iliyopo ni kupenda mmoja tuu katika life yake, hii inakuwa kama vile hajazitumia vizuri neema zilizopo (si vyema hata hivo)!
Lakini hali hii huenda inapungua siku hadi siku, akifikia kwenye (40-45) wengi huwa wanaanza kutulia na kuhudumia familia
zao ikiwa ni pamoja na kuhangaikia maakazi ada za shule n.k.
ushauri
kama upo kwenye uhusiano na mwanamme anakupenda mnapendana, endeleeni kupendana na jaribu kumuweka karibu
kisaikolojia hata ukihisi kuna kimada pembeni, usijaribu kumkorofisha utampoteza, na hata ukipata mwengine ni hayo2
na labda wa mwanzo anaweza akawa nafuu !!
Ukishindwa yote haya basi tafuta mzee, utapata akiwa ametulia, ila sijui kama utayapata vyema mambo yaleeeeeeee!!
Ushauri
Kama upo kwenye uhusiano na mwanamme anakupenda mnapendana, endeleeni kupendana na jaribu kumuweka karibu
kisaikolojia hata ukihisi kuna kimada pembeni, usijaribu kumkorofisha utampoteza, na hata ukipata mwengine ni hayo2
na labda wa mwanzo anaweza akawa nafuu !!
Ukishindwa yote haya basi tafuta mzee, utapata akiwa ametulia, ila sijui kama utayapata vyema mambo yaleeeeeeee!!
Tatizo ni kuwa wanaume sio wawazi... Ni kazi sana kujua mwanaume anakupenda kiasi gani, labda utumie vigezo vya nama anakujali na muda uliokuwa nae. Sababu at the end of the day wanaume tofauti na wanawake, hawezi kuwa na mwanamke sababu tu anamuonea huruma kuachana nae, suala ambalo kwa mwanamke inawezekana. Labda wavulana wengi unaweza jua kama anakupenda (sasa haya nayo ni mapenzi ya kitoto). Kujua kuwa Mwanaume anakupenda inahitaji umakini sana... Juu ya mambo mengi.
Mathcom na hata mwanaume akikupenda haina maana hawi na mpango wa pembeni... Possibility wa kuwa nao upo pale pale. Ila namna gani anachukulia huo mpango wa pembeni ndio inaweza kutoa kigezo to what extent akupenda. Kuna mwingine ni mpuuuzi kiasi kwamba anaweza acha hawara aende fanya fujo kwa mkewe na asifanye kitu, na mke pia usifanye kitu na mapenzi na hawara kama kawa... so kimsingi vitu vya kuangalia ni vingi sana.
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
@Ashadii sema baadhi ya Wanaume... lol!!! Wengine huwa wanafunguka na kumfahamisha muhusika anapendwa kiasi gani.
oh dear lord have mercy on Ciello
Wewe kweli uchizi umeshaupata yaani unataka usagane na mwanamke mwenzako kutatua tatizo la mwanaume wako??
Hovyo kabisa .....nina zako.............
AshaDii ,i disagree,kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti sana tena sana.
Havifanani
Penye tamaa upendo haupo kabisa,tamaa ni adui wa upendo!
Mi najua kwa unafiki wa binadamu huyu dada anaweza kurushiwa maneno sana na kila mmoja akijidai kuwa hapendi usagaji,lakini ukweli ni kuwa bora huyu amekuwa muwazi kuliko wengine wakikana hapa wakati wanafanya huko vichochoroni.
Binadamu ni wanafiki sana tena sana,huenda wasagaji wamejazana humu!
Hahahah watz kwa kupretend hawajambo,ka kwenye topic za tigo wakiwa humu jamvin wanaponda mbaya ila matukio ya kuliwa tigo wanawake imekuwa fashen hata kwa wanandoa,so mtu wajiuliza ka wengi wanaonyesha kulaan kitendo hicho wanaofanya ni kina nani? Tuachen unafiki kwenye keyboards......
hahahahaha...leo siku nzima sijacheka, nimesoma tu hii post yako nikaangua kicheko!!Wewe kweli uchizi umeshaupata yaani unataka usagane na mwanamke mwenzako kutatua tatizo la mwanaume wako??
Hovyo kabisa .....nina zako.............