Napenda kuchukua nafasi hii kuwaonya wanaume wanaoleta mambo ya utani katika sehemu hii muhimu. Binafsi sijapenda kabisa na tabia yenu mnayoionyesha kwa wanawake/wadada. Kama hamna nia ya kutafuta wanawake mkae kimya, sio kuleta utani jamani. Pili kama umeonana na mwanamke then ukaona hana sifa just mwambie ukweli kuwa sijavutiwa na wewe kuliko kunyamaza kimya na kumfuatilia kumbe lengo lako ni kumla na kumwacha. sijapenda tabia hiyo. Sio kwamba imenitokea mimi lakini nimechunguza asilimia kubwa ya wanaume hapo jf hawako serious just joking.
Ukiona Manyoya ujue keshaliwa huyo![/QU wala sijaliwa kwa taarifa yako ila nimekutana na wanaume wawili wote walianza na kuomba sex na nilipokataa sikuwaona tena
asante lakini kosa ni lako na sio wanaume....ukianza kutafuta mwenza online umekubali yote...kutakauwa wanaotaka kukugegeda na wapo kweli wanataka kuoa. hivyo ni jukumu lako weye kutumikisha mayyele ya mukichwa yako....[/QU sijaliwa ila natoa tahadhali
Mwanangu Ayana hebu tuliza boli. Umefanya utatifi lini na wapi na matokeo yake ni yapi kisayansi? Sioni pwenti humu zaidi ya malalamiko yako binafsi ambayo umeyatolea hitimisho la jumla.