Wanaume someni hii

Naona bi FaizaFoxy haungwi mkono na wadau wanaojaribu kuchangia mada hii.
Mimi kwa upande wangu namwunga mkono kabisa bi FaizaFoxy kwa mchango wake. Ni ujinga kuanza kumlaumu mwanamme aliyeweka mimba wakati hakukuwa na mpango wowote mzuri katika huko kuweka hiyo mimba kwa mwanamke husika. Nionayo mimi ni kwamba, iwapo msichna au mwanamke atapata mimba bila mpango maalum, huyo anapokosa huduma kwa mume aliyempa mimba asilaumu. Hii itakuwa ni kwa sababu amejitakia mwenyewe kwa uasherati wake.

Uasherati ni dhambi kwa dini zote na hata kwa wasio na dini. Inakuwaje mwanamke uanze kufanya ujinga huo bila mpangilio kisha uanze kumlaumu huyo mjinga mwenzako? Hilo unatakiwa kulikomalia mwenyewe wala usimlaumu mtu.

Iwapo mhusika kabakwa na kupata mimba hilo ni suala jingine, mhusika huyo hata vyombo vya dola vitamsaidia. Mwenyewe umefungua pochi yako na kuiweka wazi mbele ya wahuni, kisha mhuni moja akaja na kuweka sumu ndani yake huku unaangalia na kumsaidia uhuni wake na kuchekelea kw furaha, halafu eti akishakamilisha kile alichotaka na kuondoka zake, unamwambia mbona anakuacha solemba.....ala!

Kifupi tuache uzinzi, tupate watoto kwa njia halali yaani watoto katika ndoa, tukiwa hivyo hata watoto wa mitaani watapungua kama siyo kutoweka kabisa.

Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.
Poleni, ila na nyie muache kujilengesha

Ushauri kwako kama mama, au kwa wote wanaokumbana na tatizo kama hilo.
Mtoto ni jukumu kubwa, kwa hiyo hata msichana/mwanamke, kama hana hakika kama anaweza kumlea mtoto hata akiwa peke yake, basi inafaa "aibane". Katu asijiwache tu kwa kufikiria kuwa baba atamshughulikia mtoto kwa kuepusha tatizo kama hilo. Kuna mababa ni wakorofi, hao wanajulikana na ni wa kuepukwa kama UKIMWI, lakini pia kuna na mengine tusiyoyatarajia kama vile kufariki kwa huyu baba. Tuseme imetokezea hili la mwisho, nawe hukujitayarisha kukabili ulezi, ungelifanyaje?

tatizo wengi wanajiachia kwa matarajio ya kumbana mwanaume... hata malengo ya kudhani annajiaminisha kwa mwanaume kwa kutojali kinga

Ulivyomfungulia kufuli ulitaka afanye nini? wakujichunga na kujilinda ni wewe mwenye mali na sio mla mali. Kwa hili nawatetea wanaume. Ukijirahisisha wao wanafanya, kwani mzigo wanabeba wao?

Mkome kuwafungulia kufuli zenu mpaka watakapo waoa. la sivyo msije kulalamika hapa JF au kwingine kokote ni ukware wenu wenyewe uliowafikisha huko. Mbona sie tumejichunga na hatuna hayo matatizo ya kijinga?

Kama wamekubaka na kukuingilia kwa nguvu hicho ni kitu kingine, lakini kama ulienda mwenyeeeewe?, khaaa unanchekesha!

Tena bahati yako kama ni mimba tu, suki nyingine ni mimba na mdudu (HIV) juu. Hapo ndipo uje kulalamika vizuri. Hivi huwa mnategemea nini mnapo funguwa hivyo vikufuli vyenu? Tena wala si kufuli, hivyo vi kanda-mbili vyenu?

faiza kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.

in red, sema hamkuwa tayari yaani wewe na mwenzako!!kosa lenu mnaumiza watoto....unatakiwa ujue kuwa huwa hakuna majaribio kwenye kale kamchezo, lazima kataleta matokeo (mtoto) ambayo yanakupasua kichwa sasa!!next time ujipange
pole sana BINTI77

kama hukuwa tayari kwa nini ulimvulia chupi???

kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

hilo hata chizi hawezi kufanya japo tunalazimika kupokea mtoto paspo hata kujua maadam uko kwenye ndoa na kila cku uko naye kitandani ila huwezi kulaumu ukiletew mtoto labda kama kuna mtangano ndani ya nyumba

Hapo in blue pamoja na kusema it plays part.... nafikiri hapa Binti yupo more interested na wale wa kukataa mimba moja kwa moja... no matter harusi iwepo ama isiwepo... wangapi wamezaa na watoto wanatunzwa na baba zao but hawajaoana na the woman in question.... Ni wengi....

Hio in red... Inategemea.. mambo mengi saana... huyo alopewa mimba ana umri gani for instance... IMO kama ni 21 and below... wa kulaumiwa ni mkaka.. wanaume hapa inatakiwa awe more responsible (thou pia mdada) kumprotect huyo binti kuto pata mimba hasa kama anajua hawana mpango wa kuoana yet... has ukizingatia umri huo wanawake na young and naive..... Kama mwanamke ana lest say 25... IMO hapaswi kushika mimba bila makubaliana ya yeye na Mpenzi wake, for iyo ni age ambayo unajua kabisa SEX yaweza tumika kama starehe ama kupata mtoto... Hapo ukipata mimba... kama the guy atakataa kua ataki kuhusika, huwezi mlaumu saaana, thou kwa a good guy aki acknowledge... that is well and good...

Kwa kuongezea... hii mada kupata jibu Mtambuzi please leave wazazi out of it! Mie najua mwanaume wa kweli awe maskini ama tajiri kama anataka mtoto wake he FIGHTS!!!

Ndio maana in the beggining nilisema wazi kuwa hii mada ni complex..........hapa hatuwezi kupata jibu la moja kwa moja kwamba ni jambo gani linawafanya wanaume watelekeze watoto wao waliowazaa nje ya ndoa......... kwanza hata mtoa mada ame-generalize, wanaume wote kana kwamba wanaume wote wamezaa nje ya ndoa. haya ni makosa.
But........ nakubaliana na yeye kwamba hili tatizo ni kubwa na linasababishwa na mambo chungu mzima.......ni vigumu sana kulizungumzia hili jambo na kuwaacha wazazi nje.......Yes, wanapaswa kuwajibika, kwani wao si walezi, sasa kama malezi ya mabinti zako umeyaweka rehani unatarajia nini?
Na ndio maana sipingi maoni ya Faiza Fox, ameeleza ukweli.
Swala la malezi ya watoto wa kike katika familia nyingi, yamejaa utata mtupu, mabinti hawaambiwi ukweli, wanaambiwa tu ngono mbaya, ngono uchafu, ngono ni dhambi..........na vitisho chungu mzima........ hiyo haisaidii, bado tunahitaji elimu rika kwa kiwango cha kutosha, tunao Waalimu wazuri sana majumbani mwetu wanaitwa TV, Redio na mikanda ya video inayokwenda kinyume na maadili yetu. wakati wewe unapiga kelele ya ngono ni mbaya, upande wa pili inasifiwa.............kipi ni kipi?
No no no no.. we need to be serious.... watoto wanatakiwa waambiwe madhara ya ngono zembe, ili hata akifanya anajua ata-face consequences za tendo hilo..........

Ulivyomfungulia kufuli ulitaka afanye nini? wakujichunga na kujilinda ni wewe mwenye mali na sio mla mali. Kwa hili nawatetea wanaume. Ukijirahisisha wao wanafanya, kwani mzigo wanabeba wao?

Mkome kuwafungulia kufuli zenu mpaka watakapo waoa. la sivyo msije kulalamika hapa JF au kwingine kokote ni ukware wenu wenyewe uliowafikisha huko. Mbona sie tumejichunga na hatuna hayo matatizo ya kijinga?

Kama wamekubaka na kukuingilia kwa nguvu hicho ni kitu kingine, lakini kama ulienda mwenyeeeewe?, khaaa unanchekesha!

Tena bahati yako kama ni mimba tu, suki nyingine ni mimba na mdudu (HIV) juu. Hapo ndipo uje kulalamika vizuri. Hivi huwa mnategemea nini mnapo funguwa hivyo vikufuli vyenu? Tena wala si kufuli, hivyo vi kanda-mbili vyenu?

Faiza pamoja na kugonga kitufe cha "like" imebidi niandike kwa sababu nimeukubali mchango wako. Ninapinga huu utaratibu wa wanawake kujiona kuwa ni victims kila mara wanapofanya uamuzi wa kuzini bila kuchukua tahadhari na kuishia kuzaa. Wangejua nguvu za ushawishi walizonazo juu ya wanaume kwa kupitia kwenye hizo kufuli zao tusingekuwa tunapata hizi post za malalamiko yasiyokuwa na msingi.

faiza kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

Huyo unampiga kibuti aende akatange tange mbele ya safari. Hapa ndio pa kujuwa kuwa wanawake tunatakiwa tuwe responsible na maisha yetu na tusikae kutegemea wanaume. Tusome na tufanye kazi kwa bidii na tusiwe magoli kipa.

Wanaume wengi wanategemea wanawake kwa kila kitu chao (wengine hata kufuli zao wanataka wafuliwe na wake zao) na sisi tunawaendekeza kwa kujiweka kuwa kuolewa ni kama tumenunuliwa. Hakuna zaidi ya kuwa mwanamke unajitegemea na utapo amuwa kuzaa ujuwe hata kama umeolewa basi huyo mtoto/watoto unaweza kuwamudu bila kutegemea msaada wa mwanamme itapobidi.

Samahani sana, mimi nashkuru maisha yangu ya ujanani yalikuwa tofauti, niliolewa na kuishi na kuzaa katika maisha ya kujitegemea na si kutegemea mwanamme (nje ya Tanzania). Labda hii exposure imenifanya niwe na mitazamo tofauti.

faiza kuna wababa wanawakataa watoto wao ingawa wamezaliwa ndani ya ndoa. Hilo nalo utasemaje?

Mnapoteza muda FF ni dume, tena ustadhi dizaini ile ya kuwapa mimba binti wasomao madrasa!

Ulivyomfungulia kufuli ulitaka afanye nini? wakujichunga na kujilinda ni wewe mwenye mali na sio mla mali. Kwa hili nawatetea wanaume. Ukijirahisisha wao wanafanya, kwani mzigo wanabeba wao?

Mkome kuwafungulia kufuli zenu mpaka watakapo waoa. la sivyo msije kulalamika hapa JF au kwingine kokote ni ukware wenu wenyewe uliowafikisha huko. Mbona sie tumejichunga na hatuna hayo matatizo ya kijinga?

Kama wamekubaka na kukuingilia kwa nguvu hicho ni kitu kingine, lakini kama ulienda mwenyeeeewe?, khaaa unanchekesha!

Tena bahati yako kama ni mimba tu, suki nyingine ni mimba na mdudu (HIV) juu. Hapo ndipo uje kulalamika vizuri. Hivi huwa mnategemea nini mnapo funguwa hivyo vikufuli vyenu? Tena wala si kufuli, hivyo vi kanda-mbili vyenu?

Aiseee kwahiyo wewe unachunga sana, nambie unatumia vidoge au kalenda, au huko kwingine kusiko nasa mtoto?

Ulivyomfungulia kufuli ulitaka afanye nini? wakujichunga na kujilinda ni wewe mwenye mali na sio mla mali. Kwa hili nawatetea wanaume. Ukijirahisisha wao wanafanya, kwani mzigo wanabeba wao?

Mkome kuwafungulia kufuli zenu mpaka watakapo waoa. la sivyo msije kulalamika hapa JF au kwingine kokote ni ukware wenu wenyewe uliowafikisha huko. Mbona sie tumejichunga na hatuna hayo matatizo ya kijinga?

Kama wamekubaka na kukuingilia kwa nguvu hicho ni kitu kingine, lakini kama ulienda mwenyeeeewe?, khaaa unanchekesha!

Tena bahati yako kama ni mimba tu, suki nyingine ni mimba na mdudu (HIV) juu. Hapo ndipo uje kulalamika vizuri. Hivi huwa mnategemea nini mnapo funguwa hivyo vikufuli vyenu? Tena wala si kufuli, hivyo vi kanda-mbili vyenu?

ndio maana na wewe umetelekeza watoto pale mwembe chai kwa jirani ulipokua ukiishi!

Mnapoteza muda FF ni dume, tena ustadhi dizaini ile ya kuwapa mimba binti wasomao madrasa!

jinsia yake hainihusu hata kidogo. Cha muhimu kwangu ni alichokisema.

Back
Top Bottom