Wanaume single na wanawake single tukutane hapa

Wanaume single na wanawake single tukutane hapa

Mhh!! Cjasema kwamba uliweka
Bango me nmekuuliza tu
Najua hata mtaan wamejaa
Kama nzi ila me nlitaka kujua
Kama jimbo lishapata mgombea

[Color= yellow]Triple A[/color]
Hahaha jamani
 
Siku nyingine usiandike tena kwa rangi nyekundu unaumiza macho
 
Mm hakuna anae amani kama nipo single kutokana na looking yangu had inanifanya nionekane muongo sna na girls cos wanahis ukiwa na good looking ndo huwez kua single

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii.

Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa.

Kama wewe unahitaji kutatuliwa u-single wako humu na single mwenzako aliyehumu, comment sifa zako na sifa za umtakaye kisha mnaovutiana mtapeana contacts zenu PM.

Nikianza na mimi ni ME, nipo single toka nalia ng'aa. Nafurahia u-single wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo single kwa sababu za kiimani. (muislamu).

Ila endapo nikipata mchumba sitafanya naye tendo la ndoa hadi nioe. Na namuomba Mungu anipe yule ambaye na yeye bado. Na najua kibinadamu ni vigumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
Labda nianze na wewe kukuuliza Unaweza fafanua hapa ulipo..
Nikianza na mimi ni ME, nipo single toka nalia ng'aa. Nafurahia u-single wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo single kwa sababu za kiimani. (muislamu)...

Hapo hujaeleweka upo single ukimanisha unaishi na
 
Du, hata mimi sielewi swali lako kabisa. Seriosly sio kejeli.
 
Wakati Fulani hata kusoma comments za watu humu Ni stress remover tosha..
 
Mkuu hadi uoe ndo uduuu aysee labda upate leo kesho ufunge ndoa
 
Back
Top Bottom