Mkuu na wewe upo single?Nimekujibu kutokana na maelezo yako period
Mkuu na wewe upo single?Nimekujibu kutokana na maelezo yako period
Wackuiz wanapenda bilinganya la sivyo utakimbiwaa.... Ohoo!!?Wachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii.
Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa.
Kama wewe unahitaji kutatuliwa u-single wako humu na single mwenzako aliyehumu, comment sifa zako na sifa za umtakaye kisha mnaovutiana mtapeana contacts zenu PM.
Nikianza na mimi ni ME, nipo single toka nalia ng'aa. Nafurahia u-single wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo single kwa sababu za kiimani. (muislamu).
Ila endapo nikipata mchumba sitafanya naye tendo la ndoa hadi nioe. Na namuomba Mungu anipe yule ambaye na yeye bado. Na najua kibinadamu ni vigumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
We sema kama upo single na una search ma sio story nyingiHahahahahahaaaa naomba unisamehe tu
Nilishangazwa na namna mleta mada alivojikanyagakanyaga kwa kuzunguka wee kuleta maelezo yakeMbona ulishangaa vile?
Madame S
Nilishangazwa na namna mleta mada alivojikanyagakanyaga kwa kuzunguka wee kuleta maelezo yake



nilichekaHahahahahahaaaaa jamani😉
Haahhaahahahaaaaaaaaa ngoja kwanza nicheke maana naona umepanic.........ebu kwanza kunywa maji akili ikae sawaWe sema kama upo single na una search ma sio story nyingi
mwanza kwetu
Hahahaha upo?Ndo kusema wachangiaji wote ni single
Haaa nipo madam na nawaona tu masingle mpoHahahaha upo?
Madame S
Mimi si single lakiniHaaa nipo madam na nawaona tu masingle mpo
Nilizani nawe uko single ili nijisogeze. I hope u mzima madam?Mimi si single lakini
Madame S
Haha me sio single bwana, niko poa na mzima kabisa sjui ww?Nilizani nawe uko single ili nijisogeze. I hope u mzima madam?