Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Haaa OK mi mzima kabisa. Ata nafasi ya mchepuko haipo?Haha me sio single bwana, niko poa na mzima kabisa sjui ww?
Madame S

Vizuri kama ni kweli mkuuWachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii.
Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa.
Kama wewe unahitaji kutatuliwa u-single wako humu na single mwenzako aliyehumu, comment sifa zako na sifa za umtakaye kisha mnaovutiana mtapeana contacts zenu PM.
Nikianza na mimi ni ME, nipo single toka nalia ng'aa. Nafurahia u-single wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo single kwa sababu za kiimani. (muislamu).
Ila endapo nikipata mchumba sitafanya naye tendo la ndoa hadi nioe. Na namuomba Mungu anipe yule ambaye na yeye bado. Na najua kibinadamu ni vigumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
Njoo basi pm msianze kulalamika Mara waoaji hawapo Mimi nimekuja mahari nalipa nakuchukua ili mradi uwe unajiheshimu ila usiwe unakunywa pombe Mimi sinywi zaidi ya juice karibuHeheheheheheheeee😉😉😉😉
Heheheheeeee njoo nile hiyo mahari yako kwanzaNjoo basi pm msianze kulalamika Mara waoaji hawapo Mimi nimekuja mahari nalipa nakuchukua ili mradi uwe unajiheshimu ila usiwe unakunywa pombe Mimi sinywi zaidi ya juice karibu
wakuu mimi nipo single kwa sababu am OVERQUALIFIED!!! Yani kuanzia muonekano mpaka material things...!! caring, good lover, always listening.. yani mpaka nikimtongoza mwanamke anajistukia kama haamini amini wengine hadi wananikataa kwa sababu zao zile za "Good looking man is not for one woman alone"!! Ndio maana siku hizi mimi nawahonga napiga mzigo natembea mbele.. yaahh sasa ulitegemea mimi nifanyaje..!! No offense.
Sema hautazini nae, maana tendo la ndoa hufanywa na waliooana.Wachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii.
Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa.
Kama wewe unahitaji kutatuliwa u-single wako humu na single mwenzako aliyehumu, comment sifa zako na sifa za umtakaye kisha mnaovutiana mtapeana contacts zenu PM.
Nikianza na mimi ni ME, nipo single toka nalia ng'aa. Nafurahia u-single wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo single kwa sababu za kiimani. (muislamu).
Ila endapo nikipata mchumba sitafanya naye tendo la ndoa hadi nioe. Na namuomba Mungu anipe yule ambaye na yeye bado. Na najua kibinadamu ni vigumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
HongeraWachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii.
Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa.
Kama wewe unahitaji kutatuliwa u-single wako humu na single mwenzako aliyehumu, comment sifa zako na sifa za umtakaye kisha mnaovutiana mtapeana contacts zenu PM.
Nikianza na mimi ni ME, nipo single toka nalia ng'aa. Nafurahia u-single wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo single kwa sababu za kiimani. (muislamu).
Ila endapo nikipata mchumba sitafanya naye tendo la ndoa hadi nioe. Na namuomba Mungu anipe yule ambaye na yeye bado. Na najua kibinadamu ni vigumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
OyeeKataa ndoa
au sioWatu waliosingle wanaishi kwa amani sana
Ndio mkuuIo sio