Wanaume, simu zenu zina nini?

Muhimu ujue wewe ndo kilakitu
 
si umwambie... kuja huku unafikiri ndio kujenga?? wanaume tuna mishe nyingi kuhakikisha nyie mnatulia lakini wapiiiii??? tena nyie WAMARANGU nyie!!!!!!!!!
 
Ndio madhara ya teknolojia hayo ,mnatoka out group la watu kama sita mmekaa meza moja kila mtu na simu yake kama mazombi hivi ,nikitoka out kuna kitochi changu huwa natoka nacho kwanza hakina hata vocha ila inapobidi ndio naingia M-PESA incase ya tatizo lolote usiku ,
 
Acha uchochezi kwa sababu huo utafiti wako sijui unawalenga wanaume au wavulana. Kwa sababu kwa maelezo yako wewe unazungumzia wavulana. Hivyo ni vema ukarudi tena kazini ili kujenga hoja yenye mashiko na pia kwa pamoko tuweze kuweka mkakati kabambe wa kushughulikia upungufu huo.
 
Pili pili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…