Wanaume, simu zenu zina nini?

Eti wanaume nyie waajabu kwelii kila time n kuchat tu, labda nkulize weye watafuta nn huku acha umbea na kihelehele,
 
Ndoa inalindwa kwa uadilifu, uwazi, ukweli, na upendo wa kweli. Hailindwi kwa kuyaficha yaliyo machafu.
ndo mana unakadiliwa 60-65,umri wa ur mama kwa maneno ya busara uliyonayo
 
Dah nashkuru wife anajua kila paswd yangu ,kuanzia simu email mpaka ya hapa JF yaani hata nikifa leo sipati tabu mtu wakufuta account zangu,kama nimeshaamua kuwa na mke nje nataka nini zaidi?
nahuyu mleta uzi anasema bado au badoo?
Huo ndio uanaume hasa, nakupa salute zote mkuu, sio jitu lina mke ndani bado linahangaika nje bila hata sababu, wengine visingizio vya kipumbav, matatzo yanayoeleweka kabsa tena kwa kukaa chin na kuyamalza yeye na mwenzi wake, soln anaona kukimbilia nje..

Salute kwako na jamaa wote wenye tabia hii
 
Mi ikitokea nikaja kuwa na mke basi simu yangu, email, JF account na kadhalika vyote atakuwa na access navyo.

Mhuuu itakuwa vizuri ila mim ikitoke nkwa na mke kwanza nahama napoishi, yani kila kitu naanza upya kama vile natolewa kwenye box.
Nb bado natafuta mwenza
 
How old r u?
 
huwa tunakuwa JF mamito!
 
tunachat na ngombe au?....tuliza akilikwanza...tuna chat na wanawake sisi....
 
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Nilikuwa najiuliza shida yako hasa ni nini sasa umeanza kufunguka. Kumbe shida ni huyu jamaa yako kuchelewa kuja kutoa huduma nyeti kitandani! Hii haina uhusiano na simu wala kuchati wala TV kama unavyodhani- manaake hamchelewi kuingilia na uhuru wetu wa kuangalia TV. Wewe sema naye tu akueleze shida yake ya msingi ni nini.
 
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
Hii siyo wote labda huyo jamaa yako tu. Sisi wengine tukisemeshwa tunajibu wakati tukiendelea kuchati na kuangalia TV kama kawaida. Haya mambo hayana uhusiano kabisa bibiye.
 
Mbona na nyie wanawake mnajifungia bafuni kuchat na kujib msg!
 
simu ya mwanaume haimuhusu mwanamke or viceversa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…