Wanaume siku hizi wanaolewa.

Wanaume siku hizi wanaolewa.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,851
Eti mwanaume mzima kabisa unachukua mizigo yako unahamia kwa mpenzi/mkeo unaenda kuishi huko na siku mkikosana unachukua nguo zako unasepa, wanaume wanazidi kupungua na kubaki wakiume huwa najiuliza kama wanaume wenyewe ndo hawa wa siku binti yangu ataolewa nani?.
 
Mkuu wanaume wa aina hiyo nawajua sana, huwa hawana uhuru wa kujiamulia mambo. Kuna dada mmoja anaishi na aina ya mwanaume uliyemtaja, dada anajiweza na mzee wake ni tajiri, huyo dada nimesikia anachepuka na vijana aliwazidi umri tena bila kujificha! jamaa anajua ila anauchuna tu kwa kuwa yeye ni kula kulala.
Kama kuna wanaume wa aina hii hapa jf naombe wabadili mawazo hayo na waachane mara moja na maisha ya aina hiyo kwani yanaharibu asili ya mwanaume kuwa kichwa.
 
kupenda urahisi wa maisha kunawapoteza vijana wengi, na wengi wanajikuta wakidhalilishwa kwa kukosa sauti ndani ya nyumba kwa kupenda kwao mtelemko wa maisha.
 
Eti mwanaume mzima kabisa unachukua mizigo yako unahamia kwa mpenzi/mkeo unaenda kuishi huko na siku mkikosana unachukua nguo zako unasepa, wanaume wanazidi kupungua na kubaki wakiume huwa najiuliza kama wanaume wenyewe ndo hawa wa siku binti yangu ataolewa nani?.
Call no man unhappy until he is married.
 
Eti mwanaume mzima kabisa unachukua mizigo yako unahamia kwa mpenzi/mkeo unaenda kuishi huko na siku mkikosana unachukua nguo zako unasepa, wanaume wanazidi kupungua na kubaki wakiume huwa najiuliza kama wanaume wenyewe ndo hawa wa siku binti yangu ataolewa nani?.

muoe mwenyewe umfaidi
 
Back
Top Bottom