Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

Hahaha nicheke mie na kitambi changu.

Inaweza kuwa ni kweli kwa jinsi ulivyoelezea kwa uchungu utafikiri upo labor lakini hii mi naiyona kama ni retaliation ya kejeli na vijembe kwa kile mwanaume walichokufanyia huko nyuma.

Jf tunatumia fake Id ndio maana unaonekana unajiamini sana which is not femine behavior eti oohh mume wangu yupo healthly na pesa ninayo..sasa aliyekuuliza maswali yote nani huyo..kama sio ubibi uchu huo

Suala la kupenda au kutokupenda morphology ya mtu mbona lipo more subjective kuliko wewe unavyofikili na wewe ni nani katika hii nchi mpaka uwasemehee wanawake wote mpaka wangu mimi ambaye anafurahia kibamia changu, weka picha yako tuione basi kibungo wewe...shame on you

Suala la sex umelielezea kinafiki na kimbea sana coz mbona utafiti wa kisayansi haujawai kusema belly fat inasababisha kuwa mchovu kitandani hizo theory zenu za kwa mtogole usizilete hapa jf halafu mbona nyie wanawake ndio mnamatatizo sana ya kujamiiana kuliko wanaume kuanzia sexual organs mpaka kihisia na sisi hatusemi

The good thing is we are the one who choose which is good and which is bad so it is none of you business

Chukua like hiyo mkuu
 
Huhuhuuuu! nyakoo njoo umuone kaka yako alivyopaniki huku kisa umekitaja kitambi chake, kwi kwi kwi kwiiiii!

Sijapanic shostii..hahaha ila nimenata na beat tu...si unajua ukipigwa mdundiko lazima uvae kibwebwe uimwage miuno...
 
Last edited by a moderator:
Yeleuwiiiiiiiiiii! cute b uko wapi njoo nisaidie kumpa dozi ya kitambi jirani yangu.

Mamaaaaaaaaa ana kitambi? Vip lakin ana hela?? Mwwnzang kuna wenye vitambi na hela hawana hadi huruma...
 
Last edited by a moderator:
Zigo hilo shauri yako..... mkitambi huoooo..
Ila wenye navyo wamejificha

Tatizo lenu hamjui kuwa kuwa watu tuna vitambi halafu tuko fit kuliko wembamba! Hebu angali hapo chini,unajua shuruba ya mchezo huo? Kama hauko fit huchezi utafia uwanjani!

507f3ec8276b4.preview-620.jpg
 
alafu litumbo likiwa kubwa
dushe linafyonzwa ndani kinakuwa kama kichololo

pumzi hakuna

anakulalia kama anaogelea
yaani

SIPENDI HAYO MATUMBOO

Njooni wote mliyoelemewa na mizigo maana mtaludi nayo kwa maana Na sisi tunayo yakwetu!
 
Sasa kama wewe hupendi vitambi na mme wako hana kitambi wenye navyo wanakukela vipi,si utulie na mmeo dada...me mke wangu anapenda kitambi.
 
Habari zenu wana JF,

As usual, hivi mwanaume kinachokufanya uwe na mtumbo huooo kama hauendi chooni maana yake nini? angalau wanawake wana cha kusingizia(uzazi) japo sio sana.

Yaani siku hizi sio wembamba na vibonge wote wana vitambi, yaani hampendezi wala kuvutia kutazamwa, mwanaume unakuwaje na mtumbo mkubwa hivyo? Kiafya ni hatari, lakini pia kwa shughuli ya 6 kwa 6 ndio kabisaaa, goli moja mtu chaliii, thanx God mume wangu hana na nahakikisha hakiji,mazoezi kwa sana na kula healthy na kunywa maji mengi, bahati nzuri hata yeye hakipendi so am happy.

Unakuta kijana mdogo ana mtumbo huo hata kumuangalia inatia kichefuchefu, hebu fanyeni mazoezi bwana na muache kula kula kama mchwa na mibia kama mnamkomoa mtengenezaji wanawake wanalia kwenye ndoa zao huduma za kitandani hovyo kabisa kwasababu ya hiyo mitumbo yenu,mkichapiwa mtalalamika!?

Sio siri hiyo mitumbo yenu ni tatizo hebu chukueni hatua, migonjwa inawanyemelea mwisho mfe mapema mtuache tukihangaika na watoto peke yetu kwa uzembe wenu kitambi sio dili, piga vita minyama uzembe.

Am out.

Kama mmeo hana kitambi, umejuaje kama hawa wezi mabo? Au ulichepuka?
 
Kamwanamke kamalaya utakajua tu, una mme hana kipi kinachokuuma mpaka kuja humu?Unagawa nje ndo maana,papuchi itaoza oho
 
Habari zenu wana JF,

As usual, hivi mwanaume kinachokufanya uwe na mtumbo huooo kama hauendi chooni maana yake nini? angalau wanawake wana cha kusingizia(uzazi) japo sio sana.

Yaani siku hizi sio wembamba na vibonge wote wana vitambi, yaani hampendezi wala kuvutia kutazamwa, mwanaume unakuwaje na mtumbo mkubwa hivyo? Kiafya ni hatari, lakini pia kwa shughuli ya 6 kwa 6 ndio kabisaaa, goli moja mtu chaliii, thanx God mume wangu hana na nahakikisha hakiji,mazoezi kwa sana na kula healthy na kunywa maji mengi, bahati nzuri hata yeye hakipendi so am happy.

Unakuta kijana mdogo ana mtumbo huo hata kumuangalia inatia kichefuchefu, hebu fanyeni mazoezi bwana na muache kula kula kama mchwa na mibia kama mnamkomoa mtengenezaji wanawake wanalia kwenye ndoa zao huduma za kitandani hovyo kabisa kwasababu ya hiyo mitumbo yenu,mkichapiwa mtalalamika!?

Sio siri hiyo mitumbo yenu ni tatizo hebu chukueni hatua, migonjwa inawanyemelea mwisho mfe mapema mtuache tukihangaika na watoto peke yetu kwa uzembe wenu kitambi sio dili, piga vita minyama uzembe.

Am out.

kwan kuchapiwa si ni siri ya ndani? Kitambi ni juhudi binafsi
 
sio kila unaloliongelea uwe umeliexperience wewe directly, am a social worker, so nakutana na cases hizo alot, by the way sijawahi hata kudate mwenye mtumbo maana kwanza nikiwaona tu hata sivutiwi nao.

Kama sio wewe, hebu tupe statistics, maana kama unafanya conclusion kwa kusikiliza wateja wako wawili watatu inabidi tuulize ni chuki za vitambi au kuna vingine
 
JAMANI MIMI NAJITOLEA KUPIGA SHOO NA NYAKOO.ALAFU MAJIBU ATAWAPA YEYE MANENO SITAKI TENA NI VITENDO TU.
TATIZO AMEKUTANA NA KITAMBI MARADHI NDO MAANA ANALALAMIKIA VITAMBI VYOTE.
Vitambi oyeeeeee
 
JF maajabu hayaishi, sasa kama mumeo hana hicho unachokiita kitambi, wewe umefahamu vipi kama wenye navyo hukomea kagoli kamoja.....!?
 
Back
Top Bottom