Wanaume siku hizi ni ombaomba vs Wanawake

Wanaume siku hizi ni ombaomba vs Wanawake

midaharo hii siku hizi nimeamua kukaa nayo mbali
mi simo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hahaha watu8 akijibu hoja yako ndipo ntaamini anachosema. Au ndio wale wanaokesha PM kama Nyani Ngabu anavyosema?
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wana roho ngumu

Yaani unamuomba hela mtu hata sura yake huijui?
Hata kama unaijua mwanaume gani unakua ombaomba?

Hii ni laana!

Hapana si laana ni "haki sawa"!!! Baadaye atakuja kusema yeye yatima kabakwa na mdada JF!!!
 
Siku hz mdada mtelezo hauna jinsia!!! Tunakwenda sawa!
Timing tu hapo!! Ukizubaa lazima ukatwe kidizaini fulani
 
Habari zenu wana jukwaa
nimekuwa msomaji wa jukwaa kwa muda mrefu sasa na kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume kuwa wanawake wamekuwa ombaomba sana. lakini napenda kusema kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao nao ni ombaomba sana. mimi yalinikuta humuhumu jf. ---- mkaka nilikuwa nadate nae hata hatujaonana eti kajifanya mshahara umechelewa kutoka kila saa ananiambia naangalia net hapa naona mshahara haujatoka mimi nkapiga kimya. alipochoka akafunguka eti nitumie hela kwa Mpesa then nitakurefund mshahara ukitoka. nikamjibu tua kwa upole kuwa siwezi kukupa maana mi sikufahamu. Case chache kama hizi zinathibitisha kuwa wanaume wengine anao ni ombaomba. pia nilishakuwaga na Bf ambaye nae alikuwa ombaomba balaa anaomba hela ya vocha, michango ya harusi anakuomba, na hata hela kwa matumizi mengine tena wanatumia mvigezo vya kukurudishia ukiacha ke ambaye huomba tuu. nilikuwa natoa mifano inayothibitisha kuwa hata wanaume wengine nao ni ombaomba kama walivyo baadhi ya wanawake.

Mimi binafsi sipendi kuomba otherwise anipe mwenyewe na nikifika hatua ya kuomba ujue nina shida ukweli. ushauri wangu kwa wapenzi kuna kupeana zawadi au mpenzi wako amefeel tu kukupa fedha. ingekuwa vema klama kila mtu angesolve matatizo yake mwenyewe wakati mkiwa wapenzi na hiyo kusaidiana ikaanza wakati wa uchumba na kuendelea . pia inabidi uangalie huyo mpenzi wako kama ana uwezo wa kukusaidia na kusaidiana kusiwe one side only. sina zaidi wenye uthibitisho kuwa me nao wanaomba alete hapa waache kutukandamiza.
Wewe naona unalipiza pasipo kuelewa, huyo jamaa alitaka kukukopa na sio kukuomba kama unavyosema. Wewe ndio uliomba na uache uongo. MTOTO MWONGO NI RAFIKI WA SHETANI.
 
Kuna watu wana roho ngumu

Yaani unamuomba hela mtu hata sura yake huijui?
Hata kama unaijua mwanaume gani unakua ombaomba?

Hii ni laana!

Sasa kama una mpenzi then kipindi hicho huna kazi na uko katika kutafuta ajira na mpenzi wako ana nafasi nzuri kifedha, hivi huwezi kumwomba pesa akusadie unapopatwa na shida ?. Binasfi naomba tu na ukininyima hakuna shida kwani najua ipo siku nawe utakuja kutingwa na utaniomba tu, Suala la pesa halina cha mwanaume wala mwanamke, kama una nafasi ya kumsaidia mwenzio basi msaidie na sio mpaka usubiri akuombe maana wengine wanayo aibu ya kuomba
 
Back
Top Bottom