Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
Wasaalam wakuu,
Bila kupoteza maana na wakati ipo hivi, nimefanya kautafiti kangu na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kuwa siku hizi kwenye ulimwengu huu wa mapenzi hususani kwa vijana na mitindo yao kitandani; BRN, kamsutra n.k.
Lakini kwenye kautafiti hako vile vile nimen'gamua kwenye mapenzi hao kuna kuumizwa a.k.a kutendwa au tuseme kupigwa chini tu... Na kautafiti kananiambia watu wanaoongoza kwa kutemwa ni wanaume, yaani midume ya mbegu siku hizi utaikuta inalialia kisa mapenzi. Utasikia nishaurini huyu msichana simuelewi..
Sasa labda niulize kaswali; hivi kwanini siku hizi wanaume ndo wanongoza kuwa heart broken kwenye swala la mapenzi?
Nawasilisha....

ukipigwa na hiyo fimbo ndo utajua kama inauma au la!