Mkuu sina sababu ya kulalama, sihudumii mwanamke na sina mwanamke.Katika pitapita zangu hapa na pale nmesikia malalamiko mengi sana ya vijana dhidi ya wanawake. Hata hapa jf hasa MMU kumekuwa na malumbano mengi sana ya kuwa wanawake wengi siku hizi wanapiga sana mizinga............ Jaman hiyo mizinga mnayoisema ilikuwepo tangu zaman, huo ndio utaratibu wake ktk mapenz. Kukwepa mizinga ni sawa na kufanya biashara bila kulipa kodi. Ili mambo yaende sawa lazma mwanaume utoe kitu. Hapa ni toa kitu upate kitu......... Sasa kama wewe unaona kumhudumia mwanamke ni mzigo acha wahudumie wanaoweza halafu uishie kulalama tu...............
uwekezaji kwa mwanamke nikumkaribisha ibilisi wa kuua mikononi mwako.
maana ukiwekeza kwa hao nyangudwe then waje wakutende hasa ukichapiwa mbona lazima utaongea kirumi na kimangote
Ngoja wamalize cha fasta waje!!!
bila shaka!! Nalipa kodi kwa maendeleo ya nchi yangu vivyo hvyo hudumia mkeo kwa lengo la kudumisha penzi lenu
We ushamaliza?
kitambo sana !!
Ni kweli kaka me huwa nasema, if you can not handle the heat in the kitchen, go out
bila shaka!! Nalipa kodi kwa maendeleo ya nchi yangu vivyo hvyo hudumia mkeo kwa lengo la kudumisha penzi lenu