Sijaona logic mkuu, maana umezungumzia tu kazi za ndani kupika na kuosha vyombo!
Kama hizo kazi ndio sababu ya kuoa si unaweza ukaweka mfanyakazi tu!
Kuna watu wana mpunga wa kutosha wanakula hotelini msosi wa maana wa ridhika, kama wewe kwako marriage kwa sababu ya hizo kazi za ndani, you will have to rethink maariage,
Au nimechukulia serious bure hili ni jukwaa la jokes, hebu ngoja niangalie kwanza.....