Wanaume pitieni hapa kuna kikao

Kuna baadhi ya wanawake wamevamia kikao chetu. Naomba mwongozo wa Mwenyekiti. Naruhusiwa kuwatoa nje?
 
Nzuri sanaa hiyo ila namba 8 kidogo inanipa mkakasiko, nitajitoa out na Nita enjoy vya kutosha ila pia nitawahudumia mke wangu na watoto wangu kwa kadr ninavyoweza, hata kama watakuja kunikataa kivyao vyao ila nitajitahid kuwahudumia na mm pia nitajitoa out za kutosha
 
Sijamaanisha hvyo mkuu nimemaanisha ukimaliza kutimiza majukumu yako kama baba au mume basi usijisahau unakuta mtu kuvaa havai vizuri kula hali vizuri kwasababu ya kuwekeza kupitiliza kwenye familia basi hicho kidogo unachopata jipendelee na ww usijisahau mkuu
 
Great thinker bila pesa mkuu[emoji2]
Humu kuna waty wa kila aina mkuu!
Ukimuona mtu humu hasa hawa wadada ni age go kweli kuna siku niliomba namba nikapiga simu baada ya kuongea akaniambia wewe mtoto mdogo unikome kuanzia leo ila wanavyochangia humu ni kama gen z ila ni mishangazi ndio maana wanahasira na visirani.
 
Prof J kasema mwenyewe vijana tutunze afya zetu, yeye ana Kiri alikuwa Anaishi maisha rafu sana, hakujali afya yake hasa akiwa na hela na washikaji zake.

Unajua Kijana mwenye hela kumshauri jambo wakati ana hela wewe huna anakuona kama umechanganyikiwa au unamuonea wivu tu
 
Uzi umenyooka
 
Ni kweli mkuu kuna jamaa anajiita professor Tony ilikuwa anakunywa pombe na maandazi ila sasa yamemkuta anaanza kuomba msaada mitandaoni
 
Ukimuona mtu humu hasa hawa wadada ni age go kweli kuna siku niliomba namba nikapiga simu baada ya kuongea akaniambia wewe mtoto mdogo unikome kuanzia leo ila wanavyochangia humu ni kama gen z ila ni mishangazi ndio maana wanahasira na visirani.
Kwakweli wadada wa humu wengi wameshazeeka, vijana wengi ndio tuko gado 💪🏽 Pole sana mkuu kwa changamoto uliyokutana nayo! Siku ukihitaji wadada gen z unasema tukupe codes wenzio tunatoa wapi!
 
Ni kweli ila wanawake sio wahanga sana kama wanaume ndio maana ni mara chache kusikia mwanamke kajiua kwasababu ya mapenzi
Nimewahi shuhudia rafiki yangu akiwa na 36 hivi akapata presha kisa ndoa, mwanamke maisha yake yakaendelea.

Jamaa akaamua kuondoka na kumuachia mwanamke kila kitu, akaenda kupata mke mwingine akaanza maisha mapya.

Takribani miaka sasa, mwanamke mwaka jana akazaa na jamaa fulani mpumbavu tu, maisha yake yameharibika sana japo walivyoachana na mumewe mwanzoni alipendeza.

Sasa hivi jamaa yeye kastawi, na kitambi kapata. Ananiambia Alen amani ninayopata kwa huyu mwanamke nimechelewa saaana.

So ni kweli mwanaume ni looser mkubwa.
 
Kwakweli wadada wa humu wengi wameshazeeka, vijana wengi ndio tuko gado [emoji1434] Pole sana mkuu kwa changamoto uliyokutana nayo! Siku ukihitaji wadada gen z unasema tukupe codes wenzio tunatoa wapi!
Inabidi nifanye hvyo mkuu
 
Kweli mkuu wanawake wengi tupo nao tu hvyo hvyo ila wengi ni vimeo mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…