Wanaume pitieni hapa kuna kikao

Nadhani hata wanawake wana cha kujifunza/kujikumbusha pia. Mengi uliyoandika yanawahusu both wanaume na wanawake, machache ndo ya wanaume.
Ahsante kwa bandiko !
Ni kweli ila wanawake sio wahanga sana kama wanaume ndio maana ni mara chache kusikia mwanamke kajiua kwasababu ya mapenzi
 
kwa HESHIMA KAKA
 
We unaonaje kuna mtu anaweza kutumia jamii forum bila kuwa na ukwasi humu ni levels [emoji3][emoji3]
Jf kila mtu fogo๐Ÿคฃ kuumbe wana mabanda uchwara tu kutuona wengine makapuku๐Ÿคญ
 
Jf kila mtu fogo[emoji1787] kuumbe wana mabanda uchwara tu kutuona wengine makapuku[emoji2960]
Humu kuna mpaka mawaziri na makatibu wakuu wote mpaka president yupo huku hakuna wanyonge na walikataa kuitwa wanyonge kipindi cha magufuli [emoji3]
 
Humu kuna mpaka mawaziri na makatibu wakuu wote mpaka president yupo huku hakuna wanyonge na walikataa kuitwa wanyonge kipindi cha magufuli [emoji3]
Dahh kwahiyo sisi wengine ni kina nani?๐Ÿคญ
 
Dahh kwahiyo sisi wengine ni kina nani?[emoji2960]
Ukikuta mtu kwenye simu yake ana jamii forum app basi ujue hyo sio mnyonge otherwise itakuwa umekosea njia huku ni ma great thinkers tu [emoji3][emoji3]
 
Ukikuta mtu kwenye simu yake ana jamii forum app basi ujue hyo sio mnyonge otherwise itakuwa umekosea njia huku ni ma great thinkers tu [emoji3][emoji3]
Great thinker bila pesa mkuu๐Ÿ˜ƒ
Humu kuna waty wa kila aina mkuu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ