Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,174
- 111,105
Wanaume tumekuwa hatulidhishwi na mambo kadhaa wanayoyafanya wanawake, hasa katika mahusiano
Mambo gani hayo wanaume wasioridhishwa nayo?
Je wanaume hawana uwezo wa kuyarekebisha kwa nafasi yao ya uanaume?