Wanaume pesa, wanawake sex

Wanaume pesa, wanawake sex

Nyoko sana yule mwanamke pamoja na aina kama yake.

Huyu hapa.
Sasa tusi lanini?...Kuna kosa gani mwanamke kukaa nyumbani akasubiria Sukari ya bwana..

Ndo nyie wanawkae wapo Kigoma were DSm...alafu mnaita ndoa.
 
Ukilala na genye mnazimalizaje ndio namaanisha!

Ila Surya ujue mapenzi sio ubabe
Kwa wale ambao uzalendo unawashinda so, wanatafutana na kwenye kusex.

Wale wagumu wanaendelea kulala na nyege zao.

Just hivo. For all men and women
 
Ww upo upande upi hapa mjini?
Mimi napenda kufanya KAZi...lakini ikinilazimu kukaa nyumbani kulea watoto.

Nakaa TU Kwani Tatizo lipo wapi...
Mume akifa tutafanyaje...sijui... kwani akifukuzwa KAZi tutafanyaje..kwani akipata ajali tutafanyaje...
 
Sawa mkuu nilitaka nipime, kumbe wanawake mmebaki wachache kama ww eeh maana mwanamke uzazi na mwanaume atafute kwa jasho maandiko dini zote na biolojia ishasema.
 
Akili yako ime base kwenye ivo vitu vi2 tu wakati Kuna vingine vingi zaidi ya ivyo. Ingekua pesa inaweza kunipa Kila kitu basi ningeipa kipaumbele and love isn't about sex alone [emoji57]

Jikite kwenye mada, ni pesa au sex?
 
Uzuri Sina tamaa Kama usemavyo.
Akili yako ime base kwenye ivo vitu vi2 tu wakati Kuna vingine vingi zaidi ya ivyo. Ingekua pesa inaweza kunipa Kila kitu basi ningeipa kipaumbele and love isn't about sex alone [emoji57]
Hapa ndipo wanawake wanapotoka nje ya barabara. Kwa sababu kwa comment hii hauwezi muelewa mwanamke anataka nini hasa. Mara love is not abt money, lakini kila uchwao anakuomba hela. Mara Love is more about sex, sasa hapo ujue anataka hela. Ukimpa hela ukaomba show anakugeuka tena, oooh baby love. isnt about sex. Yaani full udananda.
 
Back
Top Bottom