Wanaume pesa, wanawake sex

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,863
2,000
Mwanamke hupenda pesa zaidi, wakati wanaume huhitaji sex zaidi. Ikitokea mwanaume amemuomba haraka sex mwanamke ataambiwa ni mapema sana. Lakini wakati huo huo Wanawake huomba hela haraka haraka kabla ya kutoa show.

Hii ni hakika kwamba wanaume tunahitaji kutafuta pesa zaidi ili tupate sex toka kwa mwanamke.

kwa sababu Wanawake walishajua udhaifu wetu ni sex, basi hukitumia kigezo hicho kutukomoa kwa kutunyonya pesa haswaaa.

Na ni hakika, kwamba wao wamepewa kiungo huru kabisa wanachokitumia kama mtaji wa pesa.

TUTAFUTENI PESA ZAIDI. HAKUNA MAPENZI BILA PESA
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,541
2,000
Tunatafuta hata wasichana nao wanatafuta sana tu.

Swala la sex hilo tutatafutana tu wote.
Leo mie nikilala na genye najua na kuna Lady mmoja sehemu naye kalala na genye kama mimi.
 
Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,805
2,000
ʊċɦʊʍɨ աǟ kǟtɨ vʝǟռǟ tʊʝǟɖɨʟɨ kʊǟռʐɨֆɦ viwanda
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,819
2,000
Tunatafuta hata wasichana nao wanatafuta sana tu.

Swala la sex hilo tutatafutana tu wote.
Leo mie nikilala na genye najua na kuna Lady mmoja sehemu naye kalala na genye kama mimi.
Kuna mwanamke MMOJA Alikua anaendesha Gari Kari Sana..akaulizaa what she does for a living akasema I AM married...

Mwanamke Kama hataki kufanya KAZi. KUKAA nyumbani na kuzaa na kulea Wala SIO KOSA
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,541
2,000
Kuna mwanamke MMOJA Alikua anaendesha Gari Kari Sana..akaulizaa what she does for a living akasema I AM married...

Mwanamke Kama hataki kufanya KAZi. KUKAA nyumbani na kuzaa na kulea Wala SIO KOSA
Miss hijab
Embu andika kiswahili tuweze kuelewana.

Yani sio kosa mwanamke kukataa kazi zote !?
 
Testar

JF-Expert Member
May 30, 2015
7,119
2,000
Kuna mwanamke MMOJA Alikua anaendesha Gari Kari Sana..akaulizaa what she does for a living akasema I AM married...

Mwanamke Kama hataki kufanya KAZi. KUKAA nyumbani na kuzaa na kulea Wala SIO KOSA
Nyoko sana yule mwanamke pamoja na aina kama yake.

Huyu hapa.
 
Attachments

  • File size
    982.2 KB
    Views
    7

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,580
2,000
Kuna mwanamke MMOJA Alikua anaendesha Gari Kari Sana..akaulizaa what she does for a living akasema I AM married...

Mwanamke Kama hataki kufanya KAZi. KUKAA nyumbani na kuzaa na kulea Wala SIO KOSA
Ww upo upande upi hapa mjini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom