Wanaume oyeee! kwa wanaume tuu.

Oyeee ,mimi hua namfikiriaga nyapu yako ikoje....()

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mwongozo mkuu!
Kanuni ya 6 kifungu 0.5. Sahihisha katika nyapu yako kuwa nyapu yake. Heshima stahiki ya mwanaume.
 
Uanaume hoyee, hapo mbona sijauona. mimi huwa nawaangalia kutoka ukucha mpaka utosi, hlf ndio macho yatulie nilipovutiwa
 
Kama maziwa yenyewe wanataka "cleavage" zionekana kutokana na mavazi yao, yasiangaliwe kwa nini(unavaa mavazi ya kimtego coz unataka attention ukiipata ulalamike?Wat non sense! We tumbulia macho tu mpaka uchokeee hakuna cha kuonewa huruma.....
 
Tatizo wengi wanaoangaliwa wanavaa ile style ya kuacha maziwa nje a.k.a bluetooth

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ila kiukweli wanaume vicheche ndio wenye tabia hii.

aisee sio kweli kwamba men vicheche ndio wenye tabia ya kuangalia hizo sehemu!kwa kawaida macho ya mtu yeyote huvutiwa kuangalia vitu mbalimbali, vizuri hata vibaya!
 
aisee sio kweli kwamba men vicheche ndio wenye tabia ya kuangalia hizo sehemu!kwa kawaida macho ya mtu yeyote huvutiwa kuangalia vitu mbalimbali, vizuri hata vibaya!

huo ni uchunguzi wangu binafsi. kuna namna tu anayoangalia mwanaume kicheche maeneo hayo. lol
 
Mimi naangaliaga mzigo hasa akiondoka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…