Wanaume oyeee! kwa wanaume tuu.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Wanaume Oyeee!

Hivi kwa nini sisi wanaume wengi wetu pindi tukiongea na mamanzii tunawangalia maziwa
yao (Bosoms) muda wote. Manzi moja kanilalamikia, kwa nini sisi wanaume atuangalii sura zao kipindi tukizungumza nao bila kuangalia kifuani mwao. Hivi hili ni jambo gumu kufanya sababu mbona wao wadada wanatuangalia sisi katika macho yetu pindi wakiongea na sisi. Anashangaa kuona kwa nini wanaume wengi wapo hivi na zaidi ya yote mpaka wachungaji wapo kwenye league hii.

Wanaumeee!!
Huyu Manzi ameniomba niwaambie kwamba wanakuwa wapo UNCORMFOTABLE kwa kweli. Tuwaonee huruma kimtindo.

 
sasa niangalie mdomo wake utanisaidia nini wakati hata mimi nina wangu, naangalia maziwa tu maana hayo ndio ambayo kwa muda huo nayaona na ambaayo mimi sina.................topic closed
 
yanavutia thats why tunayatizama. i do that a lot myself
 
Nilivyoona 'Oyeeee', kichwani ikanijia tu 'CCM Oyeeeee'


Au haya?
 
Oyeee!!
 
Hapa napita tu kimya kimya, nilitegemea inatuhusu sisi wanaume tu. Mbona maladies wamevamia ukumbi, kawaida au makusudi?
 

Ni natural, kila mtu anapenda kuangalia sehemu inayomvutia. Ushauri wangu kwa akina dada, kama hawapendi kuangaliwa maziwa yao wavae nguo zinazoyasitiri tusiyaone; kwa maana wangine hawayathamini, wanayaweka nje nje!
 
sa watu wenyewe skuhzi utadhani wamehamishia kalio kifuani....
 

Labda wewe....
 
Oyeee ,mimi hua namfikiriaga nyapu yako ikoje....()

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…