Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,456
Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.
Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!
Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.
Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.
Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂
Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.