Wanaume nyie

Wanaume nyie

umechepuka ukarudi na matope vipi????

pole, endelea kumuomba tu atakusamehe si unajua hao ni kama watoto wadogo wanahitaji kubembelezwa. halafu uwa hawapendi kukosewa zaidi ya kupenda kukosea!
 
Hata nimekusamehe Totoz kwa niaba ya wanaume wote. Ila ukome na usirudie tena.
 
Mbona mimi nasamehe sana tu? Huyo jamaa yako anamoyo wa chuma labda
 
Pole sana, kosa lako ni lipi? Kama hutaona tatizo kuliweka hapa.
 
Jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusamehe na sisi tunapo kosea.

Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik.

Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym hauna kitu nilipokutoa, ile tym umegombana na watu mie ndo nakupokea na kukufariji.

Sasa mbona sasa zamu yangu hata kunisamehe jamani.

Duuuuhh

Kuna kosa halisameheki na kama umelifanya basi ni dowa hilo la maisha. Kuipigisha kwa mwengine lah hilo halisameheki hata nikiamuwa kuendelea kuishi na wewe.
 
Usiwasikilize hao jaribu kuendelea kumwomba msamaha maana ikisema ubadilishe na hiyo utakae badilisha atakuwa hivyo hivyo tena na Zaidi ya hivyo so utakuwa ni mtu wa kubadilisha tu
 
Kosa lako nini? Sio kila kitu ni cha kusamehe..!!
 
kosa sio kurudia kosa. Yeye katoka njee na kasamehewa. Sasa ngoma imegeuka shughuli kweli hapo. Hebu tusamehane jaman hivi leo tuko hai tunashindwa kusameheana na mungu kasema samehe mara 70 na ukiangalia kosa la kwanza bado ananafasi 69 hahahah you meen kill us aseee. Yani siku moja mungu angefanya wanaume muwe wanawake na sie tuwe wanaume nadhani mngeelewa kiasi gani tuna huruma na tunavyo pata shidaa kuhakikisha familia iko poa. We ukirud aaah unauliza chakula na wakati wote wafanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom