Wanaume nyie

Wanaume nyie

Totoz

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
Jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusamehe na sisi tunapo kosea.

Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik.

Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym hauna kitu nilipokutoa, ile tym umegombana na watu mie ndo nakupokea na kukufariji.

Sasa mbona sasa zamu yangu hata kunisamehe jamani.

Duuuuhh
 
Ndo basi tena ushaaribuuu, Vipi tena mumito nini shida jamani?
 
jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusame na sisi tunapo kosea. Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik. Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym hauna kitu nilipokutoa, ile tym umegombana na watu mie ndo nakupokea na kukufariji. Sasa mbona sasa zamu yangu hata kunisamehe jamani.. Duuuuhh
Ninge pata mke kama wewe ninge furahia maisha na ningefanya juu chini nic kuhudhi ..
 
bora umzurum mwanaume hela kuliko kumgongea demu wake... ka ulichepuka na akajua tafuta mwingine tu, mambo mengine ukisamehe utaonekana bwe.ge
 
Yani ukagawe kitumbua changu nikusamehe kiraisi raisi weeee ka kimya!
 
pole msalimie mumeo mwambie anavyofanya sio vizuri
 
Napenda sana mwanamme wa kususa,nakuacha ulivyo miaka mia na maisha yataendelea,ten a angalau ususe penye ukweli
 
jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusame na sisi tunapo kosea. Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik. Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym hauna kitu nilipokutoa, ile tym umegombana na watu mie ndo nakupokea na kukufariji. Sasa mbona sasa zamu yangu hata kunisamehe jamani.. Duuuuhh
funguka!
 
humu jamvini kuna watu wasiozidi laki mbili na nusu huku tanzania kuna watu zaidi ya miliomi 45 yaani ni asilimia 0.004 ya watanzania ndio memba humu hivyo ujumbe wako umefika kwa watu wachache sana hata 1/10 ya watz haiwafikii tafuta mahala sahihi pa kupeleka maoni yako au bange za katiba
 
Wanaume wanavinyongo kama nini...wao wanapenda wasamehewe lakin ukikosea wew usamehewi ngooooo. .nikimkosea mwanaume nakama hana dalili za muangalia kwanza kama hana dalili za kusamehe wala sijisumbui kuomba msamaha akwendreeeeee vya kujidhalilisha kitu gani....
 
tulia kwanza....kulikoni?
maana unaona mpaka watu tushaanza kujipa sababu japo hatujui?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom