Wanaume nimewavulia kofia

"muishi nao kwa akili" hili neno lingekuwa poa sana kama wanawake tungeambiwa tuishi na wanaume kwa akili na sio vice versa
 
Alafu wanatuuliza mbona hatuolewi tunaogopa kupigwa mabomu

baelezee.ila wametuchosha kila izi mpya tunalazimishwa kuolewa, tukiolewa mtatumis sana jf maana tutakua biz na ndoa zetu
 

Kuna mzee mmoja alikuwa mwanajeshi wa JWTZ. Yeye huyu alikuwa anahamishwa hamishwa sana vituo vya kazi. Sasa kila mkoa aliokuwa akienda anakuwa na michepuko yake kadhaa. Akipata 1st born wa kiume na hao michepuko yake,basi jina analotoa ni "Maganga".
 
Hujawatendea haki akina Baba Doreen, siku nyingine wavulie na Kyupi kabisa ili tupate Doreen wa 7.....
 
kwaio na baba yako pia ni choko.?

unajua neno choko linamaana gani.? au ndio jazba inatawala akili zako.
Ukiona mnyoya keshaliwa kwa mkopo huyo. Hahahahhahaa chezea baba Doreen wewe
 
Marahaba. Week end nitakuja kumuona mtoto wangu naomba usitoke....
 
wanaume ni choko sana

unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe

SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO
Hivi kwa kukubali kudanganywa na machoko, nikisema wanawake ni machoko plus nitakuwa nimekosea?
 
hahahahah baba Doreen mtambo ..
 
jamani baba ridh nae mhhh c haba anao kama baba doreen.
 
Sasa msimamishe msiba ili mfanyaje? mumuulize maiti?.....busara ni kuzika kwanza mambo mengine baada ya kuzika....hao waliowauliza hao kina mama Doreen yupi nao wambea kupita maelezo.....there is nothing new under the sun.....

Mama Doreen Mkubwa aka Mke halali kazimia, je waendelee NA maziko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…