WANAUME: Nimewainulia mikono!!

uwiii charminglady kumbe ndio mwisho wake ulikuwa hivo........

na siku hizi wakaka wanakuja na gia ya kuoa ukiingia kichwa kichwa umeliwa mkenge
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhhhh ndo akome.....sisi tunakariri sana eti usipompa mwanaume ndo atakuoa haraka.Nani kasema hayo!!!!

Mbinu zipo nyingi.....wakat mwenzio anasubir,yupo anayemgegeda ila kwako atasubir coz lengo ni kukamilisha ratiba/list.

Acha kabisa na Maneno ndio keshaoa ila Tumaini bado anahesabu list tu... Hakuna hata wa kumtania kuwa ataka kumuoa na kwa bahati mbaya ndio huyoooo anakimbilia menopause. Saiv anatafuta mwanaume wa kuzaa naye make anaona ndoa ndio ishaota mbawa!!!!!!!!!!!!
 
No Mr Rocky, umeme ulikatika bana! Haya nimeshamalizia!!!!!!!!

Afadhali maana tulijua sehem ya pili mpaka mwakani
Ila jamaa wa kimakonde kaachwa solemba inawezekana hata kuonja hakuonja kisa anasubiri siku ya kumuona mrembo wake kakosa mwana na maji ya moto hapo
 
Wanaume ni mashetani hata wakiinuliwa miguu ni kazi bure!

ha ha haaa penye moto mwaga petrol
Mashetani huwa wanakuwa na uhusiano na mashetani wenzao, sasa kama wewe ni binadamu ya nini kudeal na viumbe ambao si Kingdom yako? Na ukiona hawakupi usingizi kwa kuwainulia miguu yote miwili basi tambua na wewe ni mwenzao.
 
Last edited by a moderator:
sitaki kujaribu kujiweka kwenye viatu vya Tumaini.
Inauma sana
 
Nimeipenda hii.
Vipi hajaenda kwa sangoma kusafisha nyota?
 

Hehehe....mie nilifuata gesi jomba.....naona charminglady kaamua kukulipua kwa ulichomfanya dada tumaini....
 
Last edited by a moderator:
Na wengi wanaofikia hayo ni wale wa kujiona keki kumbe mihogo tu...
 

Kadalikwa sasa akalale nachooooo-kombolela hilo butua mchezo uishe!!!!!!!

Mwanaume mwingine ukijifanya mgumu hata kwa baba yako anakwenda na mali anatoa,akikuhakikishia hayo tu basi umelamba joker na mchezo umeisha.!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…