Yep, inawezakana kabisa kutongoza mwanamke mwingine. Issue inakuja pale mathalani unapompenda mwanamke kwa mapenzi ya dhati kabisa lakini yy huyo ke akawa anazingua mambo fulani hivi: mfano, kutokuwa na muda na mimi wa faragha (kugegedana ninapohitaji), kuwa na visingizio mara nimebanwa sana na kazi mara oooh nimechoka sana. Au pia kuwa na masharti vimasharti wakati wa kukutana (kugegedana) kama vile aaah babe hiyo mkao mi siwezi ilimradi tu kunikwaza tu. Sasa tambua mwanaume yeyote aliyekamilika sex kwake ni number 1 priority upo hapo..! Sex is a need to man not a want. Ukipuuza kidogo tu tayari waweza kumpoteza kama mme hamjui MUNGU.