What you can do if you are really tired is to bear the costs!There you are, i got you my brother for admitting that the world it's not fair to women when it comes to relationships issues! I think something has to be done we are tired of being the victims!
Hiyo kawaida sana.Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
heheheMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Shemela wangu katika ubora wakeHiyo ni kawaida sana.
Kama ambavyo wako wanawake walioolewa na wanatoka nje ya ndoa kila siku.
It is just the matter of being honest to yr partner..
Mambo moneytalk.Shemela wangu katika ubora wake
Hii research ya wapi mkuu?Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja.
Hahababu yenu huyo
Natural selection mkuu..Hii research ya wapi mkuu?
Sio asprin! Namaanisha MzeewakungoaHaha
Sijamuona siku nyingi!!!
HaahhaMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Ndo huyo, sijamsoma siku nyingi kweeli... Sijui Kamngoa nani kapotea kabisaSio asprin! Namaanisha Mzeewakungoa
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Wacha wamng'oe tuu.Ndo huyo, sijamsoma siku nyingi kweeli... Sijui Kamngoa nani kapotea kabisa