Sio sawa usithubutu kuhamia kwake..Na ukifanya hivo ujue ndoa ndo bye bye!!Kutakuwa na umuhimu gani wa yeye kukuoa kama mnaishi kama mke na mume!!

Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?
Mmmh... JF humu kuna meengi..! Kuna siku nami nitayasema niliyokutana nayo..! Lol
Wanawake wa Kikenya wanasifika kwa kiburi pia, na wanapenda sana 'mbingu'/Nime kuwa na urafiki na wanaume wa TZ , Nigeria na Kenya na kwa uzoefu yao nimepata kuwa ni walaghai, waongo na wenye kiburi! Hawa watakuhaidi mbingu lakini ifikapo matendo wanapotea
kuwa makini; vinginevyo utaliwa kekundu. Wananaume wa mjini sio muchezo.Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?
Hio sio mila na desturi zetu mtoto wa kike kuishi na mwanaume kabla ndoa,nakubali wengi wanaona ni jambo la kawaida lakini haimaanishi kwamba ni sawa!!Tabia watasomana tu taratibu hawana ulazima wa kuishi pamoja!!Unaweza kuhamia na ndoa ikawepo, na unaweza usihamie na bado ndoa ukaishia kushangilia za wengine. Haya mambo hayana formula ambayo ndio na nyingine sio bila exceptions.
Pengine jamaa anataka wawe karibu ili amsome vizuri, ajue kama wataweza kuishi pamoja au la.
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?
point of correction huyo around 40's sio kijana..mengine jiongeze mwenyewe