wanaume ni majanga matupu

wanaume ni majanga matupu

Latifaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
501
Reaction score
258
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?
 
Sio sawa usithubutu kuhamia kwake..Na ukifanya hivo ujue ndoa ndo bye bye!!Kutakuwa na umuhimu gani wa yeye kukuoa kama mnaishi kama mke na mume!!
umeonaee
 
Mmmh... JF humu kuna meengi..! Kuna siku nami nitayasema niliyokutana nayo..! Lol
 
Latifaa mdogo wangu usithubutu kufanya huo ujinga.
Tena toka nduki fastaaa!!!

Narudia, TOKA NDUKI FASTAAAAAAAA!!!! (Mark my words)

Otherwise ujiandae kukubaliana na majanga yatakayokukuta.
 
do you still trust him? think twice!
 
Akishakuweka ndani hiyo ndoa ndo bye bye utaiomba hadi magoti yaote sugu.
 
hivi wewe latifaa wanaume wa jf hawajakuchosha tu?

wewe si ndiyo ulitokaga na member mmoja humu ukaja kumfungulia thread?
 
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?

mbona tulipolala kulegesti haujawasimulia?
 
Mh...kumbe watu wana sababu nyingi za kuwa member humu...yani wanaume wameisha mitaani mpaka ushobokee wa nyuma ya keyboard ...mna risk nyie...ngoja mje muwa date matapeli na wauaji toka Nigeria
 
Ulipomsimulia matatizo yako "akakuonea huruma"?! ukaona "loh! Mungu kakuona?!" Kuna mapenz ya "Huruma?!" ha! ha! haaaa!!
 
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?

Mmekutania huku JF ya nini uje hapa kutauta ushauri? Ukisikia Mburulazzzz ndiyo wewe.
 
Back
Top Bottom