Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,074
Hahah...kwanza Bujibuji ulifanikiwa kumpata?
Nilimpata na tukamalizana , kwani hajakuambia ? wewe si shost wake, imekuwaje hajakuhadithia? unanitia mashaka na huo urafiki wenu.
Hahah...kwanza Bujibuji ulifanikiwa kumpata?
Unauliza au?
Jibu si hilo,wewe pigia mstari tu
Kwamba sina udhaifu kwa wanawake?
Ndiyo.Will u let me?
Nilimpata na tukamalizana , kwani hajakuambia ? wewe si shost wake, imekuwaje hajakuhadithia? unanitia mashaka na huo urafiki wenu.
Hakuna udhaifu huwa ni maamuzi tu! Mwanaume yupo strong sana hata kawe katoto angalia hata jogoo alivyo noma cheki hata mabeberu au dume la ng'ombe jinsi ya me ni noma mungu kaipendelea! Mwanamke ni mnyenyekevu kwa mwanaume si kwamba eti ana busara kuliko mwanaume!
At a molecular level its very true women are stable than men, just have a look at this.
tena nawasubiri sana na kwa hamu kina Ruttashobolwa, Kaizer, EMT, Kiranga, Bujibuji, Vin Diesel, Asprin, HorsePower
Aliniambia tu kuwa na mimi wantafuta...
Hahahahahaahahaaaa!!!!!WAtu8,umenifanya nicheke sana, alikwambia nakutafuta?kwani mimi nikikuhitaji siwezi kukutafuta?
itabidi nimtafute Bujibuji maana inawezekana kakosea.
wewe muulize yeye mwenyewe ilikuwaje baada ya kumtafuta nikampata.Hahahahah....haya ngoja nisubirie kutafutwa nawe eenh baada ya kumtafuta Bujibuji
Btw swalama lakini?