Wanaume naombeni jibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume naombeni jibu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MADIDINGWA, Aug 1, 2012.

 1. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF.

  Hili jambo linanitatiza sana, nimeona leo niliweke hapa ili niweze jua na kupata pia mawazo yenu, mwanaume akipata gf mpya anamtusi yule wa zamani, tena baada ya muda anarudi kuomba samahani eti muendelee na mahusiano kama hapo awali, hv huwa mnakosa nini huko mlikokwenda na kurudi tena mlikotoka? hebu nisaidien jamani mm kwangu imekuwa hvyo, kila nikiachana na bf lazima atarudi tu kuomba samahani ili tuendelee haijalishi ni muda gani umepita.
   
 2. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  sasa dada unajuaje kama alikuwa anakutusi huko alikokuwa?
   
 3. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ukimuona mtu anamtusi x wake hafai
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Old is Gold
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hao wanakurupuka, hawakufikiri kabla ya kutenda, ukisha hamisha majeshi haupaswi kurudi nyuma, utakuwa umelamba matapishi yako mwenyewe.
   
 6. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyo ni limbukeni mwanamme mtaalam atahakikisha anawahandle wote mpaka atakapoona nani anamfaa ndo anatema mmoja,

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 7. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mwanaume wa aina hiyo ni mshamba, alijua labda nyama huwa tofauti as mabucha yalivyo tofauti, sasa akigundua kuwa nyama ni ile ile ndo anakuja tena kukuomba msamaha, huyo ni GUBEGUBE na si mwanaume
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hapa sina cha kuchangia kwani katika xperience yangu sikumbuki kama nimewahi kuachana na GF wangu hata mmoja ila ni mambo tofauti tofauti tu yanayotufanya tuwe mbali mbali na mara zote kila nikikutana na wa zamani huwa milango iko wazi kukumbushia au kuendeleza mahusiano kutegemea na wasifu wa muhusika kwa wakati huo.Kwa hiyo huwa ninaona wanaowakashifu wapenzi wao baada ya kuachana ni kama vile wanajipunguzia eneo la mawindo..
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  We ni mzee wa mtandao!
   
 10. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwanaume?
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Wewe nawe nanihiu...mwanaume?
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kweli kupata ukimwi ni rahisi............
  Yaani kaenda kuchovya kwengine kakutusi halafu anarudisha majeshi na wewe unamanua kama kipago cha manati,
  Utaletewa aliyoyakomba atokako, uwe na msimamo .........................
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Back to topic,tunarudi baada ya kukumbuka maujanja yenu tuliponanihiu.Lakini,kutusi si vyema.Ukitaka,usionyeshe kila kitu kila siku...
   
 14. m

  mwanajamii12 New Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmmhhhhhhhhhhhh
   
 15. mubaraka

  mubaraka Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana kama umepatwa na mkasa huo
  kwaupande wangu jibu ni kwamba swala la mapenzi liko pande zote hata wasichana hurudi tena nakuomba msamaha cha kufanya ni kabla hujawa na mahusiano na mtu yoyote muombe MUNGU akufumbulie kuhusu mtu huyo kwani naamini kabisa atakufumbulia
  hata mm mwenyewe nimefanikiwa kwa njia hiyo
  NB; unaweza ukafumbuliwa na majibu yakawa negative usiforce kubaliana na majibu hayo
   
 16. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anatuma msg au anapiga simu
   
 17. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kaka kwa ushauri wako, nitamwomba mungu anifumbulie
   
 18. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 19. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok, hafai, why unarudi tena kuomba samahani ili mahusiano yaendelee kama zamani?
   
 20. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmmhhhhhhh haya
   
Loading...